Lowassa adaiwa kutaka kuuawa!

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
16,496
17,372
Wakuu heshima mbele, kwenye magazeti ya leo imefahamika kuwa Fredrick Lowassa mtoto mkubwa wa EL amereport kuwa UWT wana mpango wa kumuua baba yake kwa kile ambacho hakijawekwa bayana!

Kama ada wanajamvi kwa weledi, tunapenda kujua kimetokea nini ghafla hivyo au ni kujihami baada kushukiwa na kuwalisha sumu baadhi ya wapambanaji wa ufisadi?

Nawasilisha
Hii habari niliiona kwenye gazeti la DIRA toleo la jtano last week kama sijakosea. Ni kwamba Fredrick alikuwa na washkaj zake kule AR kwenye hotel ya Mount Meru (sina uhakika na hotel name) ila ilikuwa hotelini wanapata kilevi na mara akapita jamaa mmoja wa UWT Arusha ambaye maisha yake ya starehe yanategemea mfuko wa Fredrick (huwa anawekwa mjini na mtoto wa EL) kwa hiyo ni washkaj.

Kwa kuwa FL alishalewa akaanza kumkunja mshkaj kuwa anaandaa njama za kumuua mdingi wake (EL). Ilitokea zogo pale ikabidi jamaa wa UWT akimbilie kufungua file pale Arusha Central. Huku FL alitoweka na akazima simu zake zote kwa kuogopa hiyo issue kuwa kubwa na kutafutwa maana alijua EL hatafurahia hizo habari na ingembidi mwanae atoe ushahidi polisi kwa aliyoyasema.

Japo habari zinasema pale AR familia ya EL inaogopwa kama mafuriko ya jangwani na hakuna mtu wa kuwagusa na ndio maana FL hajatafutwa na polisi na hiyo issue haijasikika tena.
 
Siwezi changia mpaka nipate detailed information about this issues,otherwise nitatoa mipasho kitu ambacho sikitaki....well,hoja yenyewe ni tamu kama ikipatikana nyama ya kujazia ili ivutie watu kuchangia kwa upana wake...
 
Mkuu kama nakuelewa unachosema ni kuwa Fedriki Lowasa Amedai kwa baadhi ya vyombo vya Habari kuwa Idara ya Usalama wa Taifa ina Njama za Kumuua Baba yake EDUWADI LOWASA Mbunge wa Munduli, Waziri mkuu Aliyejiuzulu baada ya Sakata la RICHIMODI?

Unataka tuelewe hivyo? Tutajie baadhi ya Magazeti yenye Taarifa hizo.
 
Mkuu kama nakuelewa unachosema ni kuwa Fedriki Lowasa Amedai kwa baadhi ya vyombo vya Habari kuwa Idara ya Usalama wa Taifa ina Njama za Kumuua Baba yake EDUWADI LOWASA Mbunge wa Munduli, Waziri mkuu Aliyejiuzulu baada ya Sakata la RICHIMODI?

Unataka tuelewe hivyo? Tutajie baadhi ya Magazeti yenye Taarifa hizo.
Mkuu,

Leo wakati Wasiwasi Mwabulambo anachambua magazeti (jioni) alisoma hiyo caption sasa mleta mada kaileta bila kujalizia ili ilete full context

Imetoka kwenye local tabloids (labda wenye access watusaidie - huku nabi gate hakuna n'gazeti)
 
Anatafuta huruma za wabongo.... hiyo ni straregy tu kwa wenye akili tunajua, nani atamuua huko UWT wakati wapambe wake hapa kutwa wanatuaminisha usalama wa taifa wanamuunga mkono yeye?
 
Mleta thread ameleta hii taarifa ili kuwafanya watu wahamishie mawazo huko badala kusherehekea xmass. Kama kweli ayataje hayo magazeti
 
Huyu Lowassa mdogo naye si alitajwa katika kumuua Mwakyembe, aliwapelekea mbuzi wale Alshabaab. Sasa anaweweseka baba yake kuuwawa. Tutasikia mengi sana hadi 2015
 
EL ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, hivyo TISS iko chini yake unless ni covert oparation kama walivyonfix Imran Kombe!.

thanks pasco, kwa weledi na upeo wako, we unadhani likelihood ya hilo kutokea yaweza kwenda percentage gani?
 
aisee..... Sasa mbona kuna watu wanasema yeye ndio anataka kuua wenzake?? Au ndio political games?
alot of kujichanganya apa mbona mnarukia yale (majamaa machakachuaji ya kura tunazopiga) mashushushu ya pale makumbusho kwa nyuma (uwt) why not... Umoja wa wanawake tanzania, umoja wa walimu tanzania au usalama wa taifa, ebu weka vizuri tutoe pwenti zetu
 
Back
Top Bottom