Lowassa adaiwa kutaka kuuawa!

Kama unayo nafasi ya kuyajua yote haya, basi na wewe ni UWT la sivyo huu ni umbea kama ulivyo umbea mwingine wowote.

Tiba

CCM IMEBAKI TU KUTUNGA UONGO SASA KWASABABU INAKUFA,lakini bado msimamo wa watanzania ni kumpigia kura LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA.
 
Pamoja na hayo haimzuwii kuiongoza nchi, Kibaki alifanya campegn akiwa kwa wheelchair na akatoboa. Kibaki alikuwa na matatizo ya kiafya but aliliongoza jahazi la Knya ten yrs, EL yuko fit nimemuona alipo shake na Sumaye.
 
lowasa ni popo la ajabu sana yeye alikuwa anatumia aliyekuwa usalama wa taifa Apson mwangoda kuwapa sumu mwakyembena mwandosya sababu ikiwa ni kuondoa list ya baba wa taifa leo hii anajifanya anaongopa
lowasa amekuwa akilipa mishahara ya pekee baadhi ya vibaraka wake walioko ndani ya usalama wa taifa ili kuvurunga mwendnendo wa nchi ,ni mpuuzi sana
anayoyafanya ni upuuzi mtupu,


Acha kuishi kwa kukariri story za kutengeneza na wazushi wenzako
 
Back
Top Bottom