ulevi nomaaa
Mkuu nafikra hilo ndio hitimisho"Kijana Kalewa Kalichapa Tembo" Ikawa Tembo limemchapa yeye.......................!!
ulevi nomaaa
kikwete sio dictator..., hata kama ana mapungufu kiasi gani, hili la udikteta sio fair kabisa!!!Jamani eeh yule Dictator wa kikwele,mzee wa double standard haaminik.i
"Polisi walitaka Fred aandike maelezo ambayo pia alitakiwa kuyatolea ufafanuzi ili jeshi liweze kutunza kumbukumbu dhidi ya tuhuma hizo na kuzifanyia kazi, lakini aligoma kabisa na alipobanwa aliangua kilio huku akidai kuwa ni pombe alizokunywa ndizo zilizosababisha amshambulie Mombo. Utetezi huo ulikubaliwa na polisi na kumtana kurejea kituoni hapo siku inayofuata."
Nimesema awali ni ulevi tu unamsumbua huyu hata hivyo Polisi wanatakiwa kuchukua hatua dhidi yake na kuhakikisha Afisa wa UWT anakuwa salama pia dhidi ya vitisho vya FEL.
kikwete sio dictator..., hata kama ana mapungufu kiasi gani, hili la udikteta sio fair kabisa!!!
El ndiye rais analindwa sana. Anayetaka kumuua hana siku nyingi. Huyo ni mwanaume wa shoka ameshanunua tz yote
N VIZURI MTUPATIE DATA ACHENI umbea, hii ni forum ya great thinkers, au siku hizi imebadilika mwelekeo?
Hatutaki source za vijiweni bana. Wewe unatuletea habari ambayo chanzo chake ni KWENYE VILABU VYA ULABU! Acheni hizo jamani. Tuna mambo ya msingi sana ya ku-discuss kuhusiana na Taifa letu na siyo hizi porojo za kimbeya.
Hajanunua Tz yote kama kakununua wewe wengine wengi bado hajatununua na hana uwezo wa kutununuaEl ndiye rais analindwa sana. Anayetaka kumuua hana siku nyingi. Huyo ni mwanaume wa shoka ameshanunua tz yote
Msarendo, unakuwa kama sio Mtanzania!, UWT ni Umoja wa Wanawake Tanzania! wengine wanaitamka uuwiitii lakini inatamkwa yudabliutii!UWT ndio kitu gani?