Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Kwani ni uongo?mbona kama unataka kuchana mkeka?Hahahahaha..kama kweli vile
Kwani ni uongo?mbona kama unataka kuchana mkeka?Hahahahaha..kama kweli vile
🤣🤣🤣Kizuri kula na nduguyo, ukiwa Darfur ujue tu huikuti kama ulivyoiacha.
Hakika kizuri kula na nduguyo.
CoolHiyo sura pasono, ndo nzuri.
👉Maana Ina nipunguzia competition, chakoo😄😄
Si ndo hapo sasa ndugu yangu🥺🥺Na lips zote hizo.. Unakwama wapi chaks 😁
Tena wanzake wanakua na umoja,
Watampindua km Israeli-Palestinian conflict




🤣🤣Hamna bana mie nafurahi tu na comments...Kumbe PM kazi nyingine ni ubuyu ?
Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!


🤣🤣🤣🤣mimi sio mbea, habari zao nazisoma na kuziacha hapa. Wambea wanazibeba na kuanza kusagia kunguni.Umekuwa mbea![]()
Ukilogwa hatukupeleki kukuagua ujue shauri yako 🤣Relaaaaaxxxxx!!.
Hebu tetemesha uzi bi mdogo,
Uzi hautakiwi kupoaa huu, ni bampa to bampaaa.
Ndio nasikia leo
Sasa nimepata nguvu ya kukupa ushauri bibie nimechafukwa Mahondaw kitu cha wengi hakiliki nasii riziki . Teksi ni gari ila sio pekee yako unaipanda , kufungua box tupu sio heri, heri nikufungua zawadi yako pekee yako.
Nimekusanya point humu humu kwa wajibu post
Naijua hiyoo
Tusubiri wakati wako, sema wee unachezaga kistaha.
Km sio wee vilee.



ila coca unajua kukera khaaa
sema mnajuana nyiee,, maan nmeshangaa kuona unamsapoti shost ako kweny huu uzi wakat selfika2 ulikua unamchamba kuhus penzi lake
siku mambo yakibadilika najua lazima umgeuke na kicheko juuu.Tayana tafuta penzi la jf, lina episodes hadi raha🤣
uduguuuu kuna watu kesho wata amkia mloganzira, wallah nakuambiaaa hiviii.
Kiharusi cha ghaflaa unakijua wee?
Hahahaha,hapanaKwani ni uongo?mbona kama unataka kuchana mkeka?
ila coca unajua kukera khaaa
sema mnajuana nyiee,, maan nmeshangaa kuona unamsapoti shost ako kweny huu uzi wakat selfika2 ulikua unamchamba kuhus penzi lake
siku mambo yakibadilika najua lazima umgeuke na kicheko juuu.


ila aliaibika mi niliwaambia tu kuwa mnahangaika kuchamba 

Ila inawezekana , hahahahaha🤣🤣Hamna bana mie nafurahi tu na comments...
Ngoja na mi nipambane nipate baby humu ,mambo haya sio ya mchezo mchezo
Nilivyo na wivu, sensitive, emotionalTayana tafuta penzi la jf, lina episodes hadi raha🤣