Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,014
- 95,521
Then you will see me soon, uachace kuni Tania Sasa 😄Cool
Then you will see me soon, uachace kuni Tania Sasa 😄Cool
Na mizimu yetuWe nae umekuba
liana na nani!
Kiongozi ikikupendeza iwe mwisho leo kuniquote.thanksThen you will see me soon, uachace kuni Tania Sasa 😄
Hahahahaha umeibukaila nyie bhana...mnajua kutukomesha wambeya
....Kiongozi ikikupendeza iwe mwisho leo kuniquote.thanks
Worry out🙏🙏, and I mean no malice to nobodyKiongozi ikikupendeza iwe mwisho leo kuniquote.thanks
🥂Worry out🙏🙏, and I mean no malice to nobody
Ujue kuna mapenzi ya kweli na mapenzi ya nipe nikupe.Nilivyo na wivu, sensitive, emotional
Mwanaume wa hivi Siweziiiii aisee
Hizi episode nitapiga mtu byre🤣🤣🤣🤣
ila nyie bhana...mnajua kutukomesha wambeya
Nilivyo na wivu, sensitive, emotional
Mwanaume wa hivi Siweziiiii aisee
Hizi episode nitapiga mtu byre![]()


Kwani we nani..mbona unanizoea ghaflaHahahahaha umeibuka
Mwanamke asiye na akili hata kumchamba ni kazi bure!
Hapa duniani kosa vyote lakini usikose akili, kujipenda na kujithamini!
View attachment 2892626
HahahahahaKwani we nani..mbona unanizoea ghafla
mbona wako humu humu, wee tazama vizuri utawaona eti.



Nimesema hadharani?Sasa mbona hujawahi kuniambia?
Hata mimi ni mkiwa wa mapendo. Inabidi umuulize mahindaw anawezaje andikiwa text nzito za kizungu 😁, ongea na watu vizuriSi ndo hapo sasa ndugu yangu🥺🥺
Unaweza Nila mbinu nini nifanye lakini mkuu wangu
Ni kweli inaonyesha jamaa ameshikiwa kisu kutoa hii post halafu mwisho wasiku hata hilo penzi hapewi usiku humu wanaume wa humu wanaringaga sana . Sana mie nimeacha kiherehere kila daily post zisizo za msingi. Nje wapo wengi tu hawaringi kama hawa wanajitambua sura ni matata hadi raha . Humu umkute anahiyo sura utaliaIla inakata sana kuwa na mwanaume mwenye wanawake wengi utavimba humu jf na kujikakamua kuwarusha roho watu kumbe unajichafua kuaibika huku moyon huna raha kabisa na huwezi kuwa na raha
Kakuambia nani ni jokes, tunaingia front kuanzia sasa🤣Hizo za jokes hazina shida🤣
Hizi wenzenu hapa ni ukweli
Acheni wenzio wamepatikana ID hiyo nilizikiaga jamaa anapinduA humu hadi basiKesho imeshafika,hebu aamka uanze samaraizesheni