Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Hapana my dear nilikuwa nauliza tu maana wanaume wa jf wanapenda wanawake warembo sana.so akına sura pasono kama sisi hapa kazi wi havuSorry upo serious unawataka humu??
Hapana my dear nilikuwa nauliza tu maana wanaume wa jf wanapenda wanawake warembo sana.so akına sura pasono kama sisi hapa kazi wi havuSorry upo serious unawataka humu??
🤣🤣Sasa mwenye mali yake sijui inakuwaje hapa, watu mmeamua liwalo na liwe hakyanani!!!
Eeh tuwe tu wasomaji🤣🤣Hahah mimi huwa ni msomaji tu hapa JF...
Babu kausha🤣🤣🤣Kwamba Jimbo Lina Wabunge Wawili Kwa Mpigo? 😜
Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza siku ya leo😁Tunakaribia Valentines lakini sielewi channel ya mapendo inashika namba ngapi 😁😁
ndugu zangu wa Jf Hivi mnawezaje kupata mapenzi yaliyotulia katikati ya drama 😁🙌🏾
kishaumana yaani🤷Taambia nn watu🤔🙄🤪🤪
Jambo lilihuishwa hili, tulilimiss sanaMahondaw , when I met you... There was peace unknown... I set out to get you...
I was soft inside... There was something going on...
Mahondaw you did something to me... That I can't explain... I will hold you closer to make you feel no pain...
Tender love is blind... It requires a dedication... All this love we feel... Needs no conversation...
We ride it together... Making love with each other... That is what we are... No one in between...
How can we be wrong... stay with me... And we rely on each other...
If the love was gone... Everything is nothing...
And we got no doubt... Too deep in love and we got no way out... And the message is clear...
This could be the year for the real thing... No more will you cry... We start and end as one...
View attachment 2892128




Itabidi niitishe kikao ukaombe msamaha kwa shem



mie cna neno jamaniiii, emu niwachee kwani bas.🤣🤣🤣Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote 😂😂😂
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
🤸♀️🤸♀️🤸♀️ Yani hii mmbea nimevuta kiti kabisa, nakaribisha wageni na wenyeji🤣🤣🤣
Ujue Mbavu zangu unazipa shida
Una nn lkn
Halafu ht kuniita
Aki Leo nimecheka Mimi🙌🙌🙌🙌
Hahahahaha..kama kweli vileHapana my dear nilikuwa nauliza tu maana wanaume wa jf wanapenda wanawake warembo sana.so akına sura pasono kama sisi hapa kazi wi havu
Tena ukome🤣Mdomo koma 🏃🏃🏃🏃🏃
Acha roho mbaya wewe





Kuna siku nilitaka nikuulize hivi wewe ni cute wife au maana mlikuwa mnaendana sana uandishi, pole na ile ban shostiNdugu nna id yangu sema ilipewa ban nikafungua hii.. nilivyosubiri irudi ile waziunge na hii.!! Akatokea jamaa akaongea kwenye comment Id ya cute wife yake so mods wakaziunganisha..!!
Nilivyoongea na mods wakasema wanaifuta ile id nibaki na hii..!! Ndo nipo nayo hivyo.
Ila kuna mtu kaiba jina langu ss hivi anatumia, naye anajiita cute wife..!!






yaan nachekaa km chiziii wallah.