Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nawee uwaite wake wenzio, muone bi mkubwa wenu akiwachachafyaaaaa, na anawarushaaa roho balaaa.

Au zamu yenu yaja, maana mume wenu heka heka anaziwezaaaa.
Huyu mahondaw anamuwekea cc, wee mnawekana avatars, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wengine anawaahidi kuwapa ajira, wengine anawapeleka the Elements masakiii, mwingne anaenda nae ofisini na Gym.
Woiiiiiiiiih
Nahii avatar nilioweka babe akee kimimi huwa anailavuuu kinoumaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤭!!

Hebu nikarare walai kukesha sio hobby yangu kabesa!

Thank you for your love my King!!
I love youuuuuuu too babeeee💕💕💕😘🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nawee uwaite wake wenzio, muone bi mkubwa wenu akiwachachafyaaaaa, na anawarushaaa roho balaaa.

Au zamu yenu yaja, maana mume wenu heka heka anaziwezaaaa.
Huyu mahondaw anamuwekea cc, wee mnawekana avatars, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wengine anawaahidi kuwapa ajira, wengine anawapeleka the Elements masakiii, mwingne anaenda nae ofisini na Gym.
Woiiiiiiiiih
Teeeenaaa!!! 🤣🤣🤣🤣
Lete udambu udambu huo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Usipokuwa online tutakupataje mahi?? Si unajua mods hawachelewi kufuta uzi.!! Nipe maswali magumu matatu nikutunzie incase usipokuwa active nimpe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu hebu muache bi mdogoo, mwenzakoo anawaza alifeli wapiiii? Yaan wapiii alikwamaaa hadi mume arudi njia kuu.

JF woyeeeeee
 
Back
Top Bottom