Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Sema hili penzi halitakufa Tena I'm sure .

Nimeamini sisi wanaume sio kila mwanamke tunayemkojolea tunampenda wengine ni chombo Cha starehe TU Cha kupita .

Wale machangu weusi , flat screen sijui wataficha wapi sura zao 🤣🤣🤣.

mummy usisahau kupita Huku kumwish auntie penzi jema 🤗🤗
 
Nipo humu miaka na miaka, katikati ya hiyo miaka you guys mkaraise. Kama masihara hivi, nikihesabu now ni zaidi ya maka sita tangia mmeanza kutagiana.

To you guys; if that thing is serious.. ALL THE BEST, if it is yet to happen, Pledge yangu ni 2 Millions na Max ataipokea yeye.

Kama mnafanya maigizo, basi mna moyo sana na labda mnapendqna bila kujua. Im here waiting for the Invitation!!
Hii positivity 👏🏽👏🏽

Bado mimi dada yako nikutambulishe kwa the love of my life, kaka mzuri…
Sijui itakuwaje?
Tuombe kheri.
 
Mwaya Mahondaw I’m happy for you darling.
Against all odds bado mko pamoja, nawapongeza sana.

Napenda kuona watu wakipendana, kwa ulimwengu huu ambao mapenzi ya ukweli yamebaki kama hadithi ni faraja kuona watu bado wana true love.
Nawapenda ❤️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom