Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Mahondaw , when I met you... There was peace unknown... I set out to get you...
I was soft inside... There was something going on...

Mahondaw you did something to me... That I can't explain... I will hold you closer to make you feel no pain...

Tender love is blind... It requires a dedication... All this love we feel... Needs no conversation...
We ride it together... Making love with each other... That is what we are... No one in between...

How can we be wrong... stay with me... And we rely on each other...
If the love was gone... Everything is nothing...

And we got no doubt... Too deep in love and we got no way out... And the message is clear...
This could be the year for the real thing... No more will you cry... We start and end as one...

View attachment 2892128
Mkuu, andika kiswahili basi, angalau na mimi niambulie chochote. 🤒🤒🤒
 
Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!

Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote 😂😂😂
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
 
Uko vizuri 😃😃
 
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Wapi wewe wakat bwana ake antonia alirud nchini ikabid penz life kwanza naona msoja kasepa tena penz limerud

Ila ni kama uyo bwana smart uchum wake uko njema sana
Wakaka wenzangu money can buy happiness
 
Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!

Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote 😂😂😂
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Story upendazo..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom