Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,982
- 177,205
Hakuna aliekukataza kukoment wewe but ukweli sikuzote huwa haubadiliki!Mwenyewe nani unamuongelea mamy?
Yani nimeona Uzi nisocomment kwa sababu umeandikiwa wewe au?
Hakuna aliekukataza kukoment wewe but ukweli sikuzote huwa haubadiliki!Mwenyewe nani unamuongelea mamy?
Yani nimeona Uzi nisocomment kwa sababu umeandikiwa wewe au?
HayaHakuna aliekukataza kukoment wewe but ukweli sikuzote huwa haubadiliki kamwe!
DuhMchepuko wako wa chuga uliyeenda nae Serengeti ndo aliyefanya huu umavi kwenye hii couple najua umenielewa mkanye sana .
Round hii haachwi mtu hapa mwaka Jana nimepambana sana asee huu ndo wakati muafaka wa kuvuna 🧑💻.
EbhanaeeeNshakula sana mahondaw mtamu sana huyu mtoto.ila hajui kuvaa
asante kwa kujali nduguHupendeki ndugu yangu.
VzrNafurahi nimelijua hilo😊😊
Hahahahaha nadhani jana ...chungu hiyo balaaUmeanza lini kunywa k venga?
Inshort....Umotomoto bado upo ehh au tupoe kwanza
Huyu dada si bure kachanganyikiwa anataka u comment anavyotaka yeye😁😁😁Mwenyewe nani unamuongelea mamy?
Yani nimeona Uzi nisocomment kwa sababu umeandikiwa wewe au?
D kanisani umeenda??Hatuwezi potea
Wee ulinikuta wapi?? Halafu mi ni wife material natumia ya mume..!!!Ufunguo tuufunge kama wenzako tulivyo ifumba kwa kujaribu kufungua mafaili. Ila wewe unavyojifanya hapa JF nilikuta si sawa na maisha yako ya kila siku. Wewe kwa wasiojua ni wife material. Bisha
Ipo siku 😂😂😂uchachue na pili pili uduguuuu.
Mengi mno aiseee!!! 🤣🤣🤣Yani kuna mengi huku jamani![]()
Hahahahaha...imekaa vzr
Mapenzi yanamchanganyaHuyu dada si bure kachanganyikiwa anataka u comment anavyotaka yeye![]()
Winga itoshe kusema JF ina wenyewe 🙌🙌🙌🙌nimejaribu kuangaalia baadhi ya replies aiseeeMengi mno aiseee!!! 🤣🤣🤣