Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,836
- 57,469
Afadhali nitaongeza Siku za kuishi Babu yenu 🤗Kweli na upendo mwingi akipendwa
Afadhali nitaongeza Siku za kuishi Babu yenu 🤗Kweli na upendo mwingi akipendwa
Soma tena ulichokiandika. Umeona ndio wabishi?sa nimefanya nin🤣🤣🤣
Arrgh Nimechoka kuwajibu mimi🖐️🖐️🖐️🖐️!
Utakuwa wa kwanza wewe kwenye familia yetu hakuna mchawiNdo najaribu kujifunza sis 🤣
asante unaweza kufika wapi😂😂😂😂😅😅😅Oh pole sana,kwanini hukunipa taarifa nifike haraka? Niko likizo ninaweza kufika muda wowote hata usiki wa manane🤣�
Kumbe...Hawa ni kweli na kulikua mpk na mpambano wa kugombania huyo mwanaume.!!
We nawe uko wapi??
Basi njoo Arusha nikuhug na massage kidogo urudi ujanani . Kuna massage palace fulani walahi utakuwa unakuja kila maraAfadhali nitaongeza Siku za kuishi Babu yenu 🤗
Ngoja wajuvi zaidi waje kukupa mwongozo
Usiniambie Mjukuu, sijafanyiwa massage nina miaka mingi ujueBasi njoo Arusha nikuhug na massage kidogo urudi ujanani . Kuna massage palace fulani walahi utakuwa unakuja kila mara
Njoo udekethwe uwe mdogo na urelax uwaze usingizi mnonoUsiniambie Mjukuu, sijafanyiwa massage nina miaka mingi ujue
Nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa Mwaka '92 😜
Ngoja niombe kibali Kwa Bibi yenu ili nije huko 🤗
akina nani hao ndio wabishiSoma tena ulichokiandika. Umeona ndio wabishi?
Nimeshakata tiketi ya Jumatano, Wacha nije nidekezwe wakati huu wa Uzee wangu 😜🤗Njoo udekethwe uwe mdogo na urelax uwaze usingizi mnono