Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Hamna Mtu ananijua humu na jukwaani hamna sehemu openly tumefanya harambee, 😂😂😂Mkuda ww hutaki kunifungulia piemu ungeniambia ningekuachia hata Hela kidogo...
😂😂😂 Nikukutanishe naye??
Jf ni msitu kuna kila aina ya wanyama kaka.!!
Mi mwenyewe nimeshangaa kajuaje ulitoa pesa uko..??
Nikakumbuka kumbe ndani ya jf unaweza kuwa Mwajuma na Hadija kwa wakati mmoja..!! 😂😂😂😂
 
90' ziliisha wakaongeza 30 ' bilabila matuta wachezaji wamepiga uwanakaribia kuisha🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌,!
Sauzi VS Cabo Verde mtanipa matokeo kesho 😴😴😴💤💤💤💤!

Smart911 unaupiga mwingi..bila kukuongelea Kuna watu humu hawatasikika kabeeesa 🤠🤠!

Forever and always💕💕💕💕💕😴😴💤😴😴💤😴💤💤😴😴💤💤💤😴😴😴💤😴
Achana na haya mambo sweetheart... It's a thread ya furaha kwenda kwako... Peace and love...
 
😂😂😂 Nikukutanishe naye??
Jf ni msitu kuna kila aina ya wanyama kaka.!!
Mi mwenyewe nimeshangaa kajuaje ulitoa pesa uko..??
Nikakumbuka kumbe ndani ya jf unaweza kuwa Mwajuma na Hadija kwa wakati mmoja..!! 😂😂😂😂
Sina hamu tena na jf 😂hii thread tu ilinifanya nikakosa usingz .... Sijajua kajuaje ila labda hisia zake zimemtuma hvo🤔🤔hamna sehemu nimewahi weka 💸💸popote....alafu mm hela ya maana Sina ila hela haijawahi kuwa tatizo kiivo
 
Ikukoseshe usingizi kwani ww ndo smart?? 🤣🤣🤣

Hebu tuondoke hapa, twende kwenye uzi wa da maua tukacheke..!! Jana alikuwa anawachamba uko wanaume 🤣🤣🤣
 
Sina hamu tena na jf 😂hii thread tu ilinifanya nikakosa usingz .... Sijajua kajuaje ila labda hisia zake zimemtuma hvo🤔🤔hamna sehemu nimewahi weka 💸💸popote....alafu mm hela ya maana Sina ila hela haijawahi kuwa tatizo kiivo

Tuma Salio tuthibitishe🤠

Jf inaenda na upepo haya yataisha yatakuja mapya!
 
Tuma humu kuonesha pesa sio tatizo kihivo kama ulivosema🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Shida yako unasoma huku upo uchi😂nimesema "Hela Sina ila haijawahi kua tatizo"

Kwani jf Hela ni muhimu🤔si nliona price tag ya utelezi humu mi 30k Lamomy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom