Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

By the way nlikuwa najua humu ni kijiweni tu kumbe Kuna watu wamekulana mpaka wakionana uchi hamna hata msisimko, wengine beki hazikabi, wengine ni mtu Moja ID 18 duh
Kuna mtu aliniuliza hivi mpaji Mungu mnafahamiana uko kkoo.??
Inaonekana ana pesa, kuna sehemu nimeona kachangia pesa nyingi.!! 😂😂😂😂
Nikasema mamaah.!! Winga kafikiwa kupewa kipochi 🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Kwani wapi ulichangia pesa nyingi kaka??
Dadaako nadaiwa pesa na mchina hutaki kuniongezea..!! 😂😂
 
Hamna Mtu ananijua humu na jukwaani hamna sehemu openly tumefanya harambee, 😂😂😂Mkuda ww hutaki kunifungulia piemu ungeniambia ningekuachia hata Hela kidogo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom