Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Hiyo chai haijaiva unipe [emoji23][emoji23][emoji23]
Kunywa tuu shosti maana mambo bado ni mengi, aje bidada Anne na cake hapa tusindikizie usiku [emoji23][emoji23]
JamiiForums-1497927885.gif
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nia yako univuruge nisifatilie umbea, umetumwa??
Uliona wapi mkinga kahonga?? Kwanza pesa zetu za masharti, ukihonga na pesa bye bye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umbeaa nimekufundisha mie, Leo nitumwe kukukataza usifatilie umbea? Wee uduguuu ntakubondaaa, nipe heshima yangu ktk hii sekta.
 
Bwana Rabbitus,
Umekuwa unaniattack sana, kila ukiona comment yangu kuna kitu kama kinakuwasha hivi. Nimekukwepa tangu ulivyoanza, leo nilivyoona quote yako nikasema sitanyamaza.

Stop it young man. BTW I'm not 52yrs though I'm well above 40 but not yet 45. Seems you need to know about me, I'm no Isaac Newton. Halafu ni kapuku tu sina lolote.

Ukitaka kujua mengine karibu pm, sijaifunga..huwezi jua ukawa mwanangu sana na michongo ukanipa.

Pesa ipo bana unamzidi hadi shemeji Smart [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Almost a year???????? Kweli dish limeyumba
Wewe ndie uache ujinga.

1. Mimi ni Antibiotics ukileta unafiki tunakutana, ukiacha unafiki hutaniona kuku attack.
2. Acha kupondea wanawake wa JF public wakati unahaha PM kupata cheap pussies.
3. Huna usafi wowote mbele za watu, ulichofanya kwenye huu uzi ni ujuha.
Nakazia na misuri ya Palestine 💪💪
 
Back
Top Bottom