Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Sikia shouzzz ngoja nikate unafiki hapa, wee ile siku nimemchamba na kumchambua huyo smart kuhusu tabia yake ya kupakazia uongo, tena nilimuita kwa kumtag mwenyewe, ulisemaje?

Ikiwa mie mpinzani kwako, si ungenikatazaaa siku ile ile? Zimepita njegeka ngapiii hadi leo nionekane mpinzani wako? Kupatana kwenu mie sio shida, shida ilikuja kwa huyo smart kuambia watu kuwa walio ktk upande wako walipoteza nguvu na muda buree kukupigania ikiwa wee na yeye mnajuana, yes alikua sahihi yeye anakujua kuliko mie.

Mie nilikulalamikia wewe, na nilihoji kwa kusema ambavyo wake wenzio walisema, ubaya wangu uko wapi? Kwann ulijua wee na yeye mnajuana na mtapatana baadae, si ungeni cancel tangu mwanzo? Wengi wameanza kujua bifu lako na Depal, kumbe kuna wengine wawili nyumaaa, uliwaambia? Wanajua hilo?

Sikia shouzz nakuheshimu na nitakuheshimu daima, sina ubaya na wee na sioni haja ya kuwa hivyo. Nilikulalamikia kwa kuwa nilikupambania wee binafsi, nasikia leo mie ni mpinzani wako.

Hayaa bhana. Sina neno mie.
Kumbe kuandika bila emoji unaweza udugu 🤣🤣🤣🤣
Pole sana.!! Kwani nani alikusema upo upande wa wapinzani.??? Mna vyama humu??? 😂😂😂
 
Ukitaka uishi kwa amani humu akikisha hakuna mtu umewahi kumpa nafasi ya kukujua hata kwa bahati mbaya vinginevyo,Ila pia kuna story za kutunga hata kama mtu hakujui wala kukufahamu🤨
Nawa jua baadhi ya watu Humu, hats off to them.
👉Wako poa Sana, wame staarabika.

Maisha ni jinsi unavyo pangilia, kenge na kenge- Hawa zalishi Simba.
 
Sio siku yake ila huu ujinga wa mtu kutumia id nyingi kufanya watu wapumbavu ipo siku…!!!
Mi jeshi la mtu mmoja siogopi na ugomvi wangu unaamriwa na mods tyuu..!!
Anayejifanya chizi kutaka kunichokonoa atanuna valentine itakuwa mbaya kwake
Mbona unanipa ugwadu wa kujua nn kinajiri, hebu nipe samare kwanii
Eboooh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom