Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,935
We nawe itabidi nikuanzishie uzi ulivyotaka kutapeliwa 😂😂😂😩😩Mbona USA jmn
Nacheka😂😂😂😂
Mbona wao wanakuja kutuchamba wanawake
We nawe itabidi nikuanzishie uzi ulivyotaka kutapeliwa 😂😂😂😩😩Mbona USA jmn
Nacheka😂😂😂😂
Nafurahi nimelijua hilo😊😊Nimesema hadharani?
Tafadhali 😂😂😂We nawe itabidi nikuanzishie uzi ulivyotaka kutapeliwa 😂😂😂
Mbona wao wanakuja kutuchamba wanawake
Nakuanzishia shoga angu alitaka kutapeliwa na mwanaume wa mkoani aliyejifanya anatokea USA 🇺🇸😂😂😂😂Tafadhali 😂😂😂
Sitaki umaarufu humu
Maana ukianzisha Uzi nitakua maarufu mie sitaki
Tunasubiri mageuzi kutoka nyumba ndogo 🤣🤣🤣Haya tokeni waachieni uzi wao wabebishane
Wewe mbea friji haligandishi😁😁😁Nakuanzishia shoga angu alitaka kutapeliwa na mwanaume wa mkoani aliyejifanya anatokea USA 🇺🇸😂😂😂😂
😁😁😁 Nyie mnaosemaga hivi ndio mko kwenye mahaba ndindindi sema wasiriiiiiiNdugu yangu nani wa kunipa mahaba mei cheusi mangara?
Dogo upo? Za kupotea?
Umbea nauweza na unanipenda haswaah!! 😂😂😂Wewe mbea friji haligandishi😁😁😁
Niwache pls😂😂😂Nakuanzishia shoga angu alitaka kutapeliwa na mwanaume wa mkoani aliyejifanya anatokea USA 🇺🇸😂😂😂😂
Poleee🔥🔥🔥😍 naweka comment kwanza then nisome uzi wote ayee!
😂😂😂🏃🏃Ila weTunasubiri mageuzi kutoka nyumba ndogo 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Ww shukuru nimekusanua, ulikata visa ya kwenda mkoani ujue!!Niwache pls😂😂😂
Anitapeli mie mtt wa mjini thubuuuu yake
Halafu kapoteza ,au kajua tumesanula🏃🏃🏃
Nasubiri come back ya wifi yangu ndo nitaondoka 😂😂😂😂😂😂🏃🏃Ila we
Kwahiyo sote ni wakaiwa😁😁Hata mimi ni mkiwa wa mapendo. Inabidi umuulize mahindaw anawezaje andikiwa text nzito za kizungu 😁, ongea na watu vizuri