Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,048
Yani nimeamini kweli wasukuma wanadata na wanawake weupe
Nlikuwa huku usukumani siku 2 hizi hadi aibu. Yani they can't hide their obsession to fair skin tone women. Kuanzia wababu wababa hadi vijana.
Kama mtu ni mafia anakula hela zao sana na kuwaacha mataa
Wasukuma wasukuma wasukuma nimewaita mara tatu acheni huu ulimbukeni wa rangi jaman.