Loose ends Kifo cha Martha Towo

Aise

Ova
 
Stress ya nini au mambo ya kazini ?

Ova
 
Dah
Eti watoto wa kike na utapeli wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnatuonaje lakini?
 
Stress ya nini au mambo ya kazini ?

Ova
Obvious itakuwa mambo ya kazini!! Ndio maana Mzee wake kaweka wazi sio ishu za mapenzi. Mzee ni msomi so kaacha Polisi wafanye kazi yake, yeye hawezi mwaga kila kitu kwa vyombo vya habari anayoyajua kashawashirikisha Polisi.

Tusubiri soon kila kitu kitakuwa wazi!!
 
osama mwenyewe ilianzia kwenye simu kosa lilitokea hapo.
Osama haikuanzia kwenye simu,jaribu kutafuta kuna thread ilitolewa na FBI na nadhani mzee ,JBourne59 alishatoa thread yake kama sijakosea,kiufupi wakati wa operesheni kule Tora bora walimkamata kijana mchunga mbuzi milimani na kumuhifadhi kama mwezi na kutuma finger print zake ikagundulika alishawahi kuingia USA wakimfata Mohd Atta na baadhi walipita na baadhi walidunda na huyo alikuwa mmoja wao na baada ya kumgundua wakampa kibano akaja akamtaja mtu ambaye ni namba 2 kwa Osama na wamarekani hawakuwa nae ktk data base zao
 
Hivi wenzetu makanisa yao wanapokeaga simu kanisani??
kama alipokelea nje inamana alirudi ndani akaiacha simu ndio kwenda kwa huyo mpigaji??
Nahisi huyu dada alicheza deal chafu, na Mastermind akaahidi kumlinda, mastermind ndio aliempigia simu atoke nje, si ajabu alimwambia em toka mara moja tuyajenge acha simu siunajua mchongo tuliofanya ni nyeti
 
Umewaza nje ya box ila wanadamu mda WA ibada WA kusema na Mungu unapokeaje simu!! kaahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…