rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,874
- 9,663
Mzee mbona unatoa siri za kambi sasa[emoji3][emoji3]Hivi unajua mkimchukua binadamu mzima, mmoja akashika mabegani na mwingine akashika miguuni mkimchekecha tu kama chekecheo mara 45 hamalizi siku saba anakufa akiwa amelala?
Sio kweliYupo sahihi ukiwa bubu lazima uwe kiziwi pia
Halafu unajua wewe pimbi ni mtupu sana basi tu.Mipango mtu wangu Amna makosa
Kwani zinachoonesha ni uongo?Ila discover investigation na discovery id extra zmewadanganya watu sku izi kla mtu ni investigator
Huyu ndio zake huwa anachukua thread za JF na kujimilikishaMungu mbona kama kanakili almost kila kitu toka kwenye uzi wangu?[emoji23]
Inasemekana Marehemu cheo chake cha mwisho hapo BOA alikuwa Relationship Manager.Wanaandikiana zile za mabango. Huwa haziwezi kupita counter
Huu ndio msingi wa maovu mengi, kutaka maisha ya juu bila kufanya kazi kwa bidii na kujipatia kipato, maisha ya show off...tamaa,tamaa ,tamaa.....& Shortcut....hii kitu inawagharimu wengi Sana.
Azam tv ipoIvi hii channel ipo kwenye king'amuzi gani siku hizi? Maana startimes walitoa
Anapiga pesa muhimu naona ange-acknoledge source. Kuliko kujikausha, zile series za yoga Ndio kabisa aliteka watuAtugaie kidogo basi ama tuingie mkataba tufanye kazi [emoji23].. Maana telegram anapiga hela
Ni kweli ile thread yake ya hichi kifo kacopy mengi kutoka kwenye huu uzi, lakini pia ziko thread nyingi sana anaandika za matukio kama haya ya uhalifu na ujambazi sijui ni wapi anatoa hizo data maana anaenda in detail kabisa.Huyu ndio zake huwa anachukua thread za JF na kujimilikisha
Acha ushamba! Akujue ili iweje? Wenye hela wote hawanaga hizo mbaga...[emoji38] una hela za ugali dagaa tu!Natoka na only Pisi Kali
Unanijua mm n Nan hapa nchini,?
Nina pesa mbaya mbovu
Ila!?Sio kweli
Mkuu kinachowaponza wanawake wengi ni tamaa, au nasema uongo ndugu yanguwapunguze tamaa
Una hoja
Si nlisema tamaa mbaya sanaβ issue ni yalichezwa magumashi 4months back, mzigo mtunzaji akawa dogo, baada ya muda akaingia tamaa na baada ya kupoteza maboya kumbe alihamisha mzigo wote faster wiki chache nyuma halafu alivoona anafuatwa watu wanataka mgao wao dogo karesign faster na mkopo aliokua nao pale akalipa halafu akapotea mitaa ile, ndio haki ya watu waliitafuta bila mafanikio sasa tuendelee kusubiri tuwe watulivu lakini dodondoo ni dhulma dhulma iliyoambatana na tamaa,
Kule ndio nilianza kumsikia, na episode zilivyoanza kuchelewa facebook na telegram wakawa alosto ππDuh alichota mpaka kule?
Cheque ya bilioni moja sio Cheque ya kitoto. Kama ndio zile wanazocheza za fraud, inaweza kuwaInasemekana Marehemu cheo chake cha mwisho hapo BOA alikuwa Relationship Manager.
Kwa uzoefu wangu transaction zote juu ya 10m lazima iandikwe Fund Transfer na hiyo Fund Transfer anayehusika kuisign na kuipitisha ni Relationship Manager.
UongoMzee mbona unatoa siri za kambi sasa[emoji3][emoji3]