ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,954
- 15,547
Mambo ya Branch Manager hayo....wazushi sana hawa watu[emoji57][emoji848]Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.
Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.
Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.
Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
Lakini ni wazi aliitwa na sauti anayoitambua na kuwa na hakika nayo
Kikulacho...![emoji848][emoji2827]Bila shaka sauti na hata namba alizitambua vyema ndiyo maana angekwenda kokote ambako wangemhitaji. Angalia hii:
“The only way they could get to my uncle was via a friend,” said Batenga. “To get him into that room, it had to be someone he trusted implicitly. That was always Uncle’s weak point, and they knew it: the faith he placed in his friends.”
Rwanda’s Khashoggi: who killed the exiled spy chief?
Si ndo nimewaza hadi kufikia kupata kifo tatanishiiDili kama zote mostly
Nakubaliana na wewe, ila hakuna mwenye uhakika kama hiyo sauti ni halisk au ni ya kuigiza, lets say aliitwa na sauti inayofanana na ya boyfriend wake au mganyakazi mwenzake, unless kama aliweza kuzungumza na kuelezea tukio zima ikiwa ni pamoja na watu aliokutana nao na wakamtendea tukio, bado kuna kazi ya kujiridhisha juu ya watuhumiwa wa tukioLakini ni wazi aliitwa na sauti anayoitambua na kuwa na hakika nayo
Bank zina watu wanaoiba kwa kalamu. Uhalifu wa balaaInasemwa boss wake tayari yuko lock up. Na kwa body language ya babaake inaonesha kuna mengi tayari yameshajulikana pengine waliweka pause kwanza wadili na mgonjwa
Raha gani? Kukata mikono watu na kupiga mawe wazinzi?Anzisha utawala wa kiislam uone raha yake ilivyo
Kuna watu pia wanafundishwa kua duniani hakuna haki, huruma wala aibu, unasemaje hapo?
Nukuu kutoka chanzo kisicho halisi:
Inasemekana alinayehisishwa na kifo chake ni Boss wake …
Aliaambiwa afoji check ya 1B isemekane imeandikwa kimakosa ili hiyo hela isionekane Bank .. Lakin Binti alikataa..
Boss alimsumbua akakosa amani akaomba ruhusa kuja Kibaha kuisalimia familia yake .. Lakin alikuwa akiwasiliana na Mchumba wake nakumpa taarifa hizo..
Alipokuja Kibaha alimshirikisha Baba yake Mzazi ambaye ni Doctor Mkuu Mwimbili Dar. Siku chache kurudi nyumban Boss wake alimpigia Baba yake huyo Binti kumtaka amwambie mwanaye aache kazi ndani ya masaa 24 . Baba ake akahoji kwakosa gani mwanangu alilolifanya?
Lakin siku ya pili alipigiwa simu na mmoja wa wafanyakazi wenzake Kahama kumjulisha wamekuja Dar kikazi wanapita kibaha wamsalimie… According to that .. Alipokea simu kwamba wamefika wakutane alipotoka ndyo hakurudi tena ..
Kupelekwa porini na kuchomwa moto na sindano za sumu .. Alijitahidi kujikongoja mpka eneo la makazi ya watu .. Nakuonba msaada apigiwe simu Baba ake .. Toka hapo alikata kauli na kukimbizwa Mwimbili.. na siku chache kuaga dunia..
Inasemekana Boss wake ameshakamatwa sheria itafata mkondo wake ..
Mungu ailaze roho ya marehemu Martha 😔.
Mwisho wa Nukuuu.
Huyu jamaa ni fara sana utamsema marehemu alikuwa hajatulia kama ni ndugu yako unaweza kusema hivyoWewe ndiyo unatufuruga kabisa. Ukisikia watu wanaoingilia uchunguzi na kuufuruga kwa interest zao, basi ndiyo wewe sasa.
Nadhani hata hujaelewa nilichokuwa naongelea mkuuHii nayo kwa wabobevu ni rahisi mno. Line ya simu inakupa IMEI namba na inapokuwa mahali simu ikiwa on unajichorea ramani ya matembezi yako. Kifupi utakamatwa. Sisemi mengi bgoja niishie hapo. Hawa wauaji kama alivyosema Mshana Jr watakamatwa kama kuku. Tena familia ina pesa na ndugu zake wana pesa yaani mkate ngumu mbele ya chai hakuna. Tena itakuwa na high level investigation. Mark my words.
Yeah hakuna jiwe litasalia likiwa juuIla kila kitu kitawekwa peupe the soonest
Mbona Ben alitoa namba zao kabisa lakini hawajawahi patikana..Makosa yote yaliyofanywa na wauaji au muuaji ni mpango wa Mungu ili ajulikane au wajulikane. Wamefanya uzembe mkubwa kuteka kwa kutumia simu
Finance ndo wanaendorse, loan officer anaverify tuHii ina make sense,maana maelezo ya mwanzo ni kuwa alilazimishwa kusign cheque. Bado swali la pili,ofisa mikopo ana mandate ya ku endorse Tiss tranfer na siyo watu wa Finance?