Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Masta...
Mimi sina taarifa kamili ya hicho walichokuwa wanafundishwa hao vijana 70 wa Kiislam ambacho walioamua kufungia chuo chao wamekiona.

Ningefahamu hayo masomo yaliyoonekana ni itikadi kali ningeweza kujaribu kuchangia.
Wee mzee acha udini, hujakatazwa kuabudu au kuswali, tatizo lenu mnafikiri nchi lazima iendeshwe Kwa Sheria zenu za kiislam na yeyote asiyeamini ni kafiri na hastahili kuishi, acheni ujinga na msilazimishe Imani zenu Kwa wengine
 
Itikadi kali ni ipi? Wewe mgalatia unajuaje kama ni itikadi kali?

Weka hapa hivyo walivyokuwa wanafundishwa ,uoga wenu tu kama kunguru.
Itikadi Kali zipo na usijifanye hujui, na tunazijua kwa matunda yake, mtu anafundishwa dini badala ya kuwa mtu mwema anakua muuaji na mvurugaji halafu yakotokea Kuna watu wataanza kudai ni mipango ya marekani na Israel.
Kila kitu Dunia hii kinahitaji kuwa na kiasi ie moderation.
 
Itikadi Kali zipo na usijifanye hujui, na tunazijua kwa matunda yake, mtu anafundishwa dini badala ya kuwa mtu mwema anakua muuaji na mvurugaji halafu yakotokea Kuna watu wataanza kudai ni mipango ya marekani na Israel.
Kila kitu Dunia hii kinahitaji kuwa na kiasi ie moderation.
Leta hapa itikadi kali 😅😅kelele za nn?

Leta somo lenye itikadi, yaani unatokea Mbeya mashambani na ushamba wako hizo itikadi kali utazijua lini!?
 
Wee mzee acha udini, hujakatazwa kuabudu au kuswali, tatizo lenu mnafikiri nchi lazima iendeshwe Kwa Sheria zenu za kiislam na yeyote asiyeamini ni kafiri na hastahili kuishi, acheni ujinga na msilazimishe Imani zenu Kwa wengine
Nilikuwa Chuo wakati Fulani nikifanya History ya Afrika Mashariki.
Tulikuwa na Mwalimu Mwenye Siasa Kali.
Lilipofika swali la utamaduni wa Mwafrika katika Nyanja za Ibada, nilieleza. kwa uchache.

"Jamii mbalimbali za Kiafrika zilikuwa na Tamaduni zao za Kidini na Ibada. (Dini ni kipengele cha Utamaduni) Zilikuwepo na zipo bado, kulikuwa na Dini na Ibada mbalimbali katika kila jamii ya Kiafrika
Mfano baadhi ya Majina ya Mungu katika Jamii za Kiafrika.
Kilima-Njaro = Mlima wa Mungu.
Kikabila chetu Mungu tunamwita Chapanga = Mpangaji wa Mambo yote.
Na kueleza kuwa Ukristo na Uislamu haukuweko kama Dini katika Utamaduni wa Mwafrika ni Dini tulizoletewa toka Nje "

Huyo Mwalimu alinipa alama chache sana na kunieleza kuwa Afrika tulikuwa na Utamaduni na sio Dini kabla ya Wavamizi na Wakoloni. Nia yake ni kueleza Dini ya Kweli ni Uislamu tu. Ni kwamba Waafrika kabla ya hiyo Dini walikuwa na imani zisizoeleweka na sio Dini.

"Kumbuka Kuna Aya inasema Dini ya Haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu tu" (Qurani)
Mwalimu alielewa hivyo tu kuwa ndio ukweli.

Linapofika swala la Dini kwa baadhi hawa wenzetu hata awe Profesa, akili yake inakufa ganzi kabisa.
Msimshangae huyo Msomi ni mmojawapo wa hilo tabaka.
Kesha athirika na Dini ya Haki na hawezi kufikiria tena nje ya Box.

Kichwani mnajieleza kwa uchungu Mkubwa sana sana. (kumbuka neno sana sana)
Kwanini wanaofuata Dini ya Haki yaani Dini ya Kweli hawathaminiwi na wananyanyaswa na wako tabaka la chini?

Kwa mtazamo wa Kweli wanatakiwa kuwa tabaka la juu kwakuwa wana Dini ya Kweli na Baraka za Mola wa Ukweli.

Pilato alipo mwuliza Yesu Kristo swali katika Yohana 18:38.

Kweli ninini?
Yesu hakumjibu.
Na ndio lilikuwa Jibu sahihi wakati ule kwa Pilato kwakuwa Kweli ni Swala mtambuka sana.

Kila mtu anaweza kuwa na Kweli yake ambayo sio Kweli ya mtu mwingine.
Pia kweli ya leo huenda isiwe Kweli ya kesho.

Nadhani huyo Msomi Bado hajaielewa hii dhana ambayo inamwumiza sana moyoni mwake.
Dhana ya Dini ya Kweli katika Nyakati hizi.
 
Huu ujinga na njama za kuupiga vita kwa kutumia vyombo vya serikali utaisha lini
Kila mnapoona madrasa mnazusha jambo.
Mara karate .mara ushoga..............
Mnataka uislamu usifundishwe ?
Mkuu uislamu sio ugaidi ila magaidi 99% ni waislamu.
Kuna kitu hakipo sawa hapa.
 
Mkuu uislamu sio ugaidi ila magaidi 99% ni waislamu.
Kuna kitu hakipo sawa hapa.
Kama tafsiri ya ugaidi ikiwekwa sawa na ikawa na maana hiyo inayowaziwa na akina wewe basi Ugaidi kwa 100 unatekelezwa na mayahudi na wakristo.
Mifano ipo mingi na ya wazi inashangaza kwamba nyinyi mnasahau kama kuku.Wangapi wameuliwa kwa visingizio Iraq na Afghanistan maelfu kwa maelfu.
Eti vijana kuonekana wakifanya mazoezi ni ugaidi wa kupelekea kufungwa madrasa.Ujinga mtupu.
 
Swalu langu ni kuwa, kwa nini waliachwa muda mrefu kama siyo kuzingua?
Kwani chipukizi si umri wa shule?
inawezekana intel zilichelewa kuwafikia probably wananchi/watoa taarifa hawakua mashaka na hichokituo hapo mwanzoni mpaka vitendo vitiavyoshaka vilipoanza kujitokeza
 
Tatizo sio hayo mafunzo ya matumizi ya viungo katika kujitetea, Swali Kwa nini Waachishwe shule, Kwa nini mafunzo yaambatane na Siasa Kali?
 
Mods Naona mmefuta comment yangu niliyosema Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa bila shaka mod aliyefuta hii comment nae ni mfuasi wa mnyazi mungu.

sasa nasema hivi dawa ipo palepale na mwendo ni uleule

Muhimu: Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa.
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sana
 
Karate ina shida gani! Na hizo imani au sijui siasa kali ndiyo zipi? Nchi ina udini hii watangaze tu kama nchi ni ya kikristo kama Zambia kuliko kuwafanyia visa Waislamu kila siku halafu nawashangaa sana viongozi waislamu wanavyokaa kimya kama mazuzu!
Tumejifinza Nigeria mkuu
 
Back
Top Bottom