Londonistan haiepukiki

Londonistan haiepukiki

Wazungu wana akili kubwa tofauti na unavyowachukulia. Wanawakaribisha kwa wingi then wanawapa uhuru wa kuabudu kisha wanapandikiza utamaduni mpya katika dini yenu! Mifano ni mingi sana ya mkakati huo wa wazungu, leo hii kuna maimaam wengi sana ambao wanajitangaza wazi kuwa ni mashoga na wanaswalisha kwenye misikiti huko Ulaya! Muislam mwenye akili timamu hawezi kufurahia huo mtego, subiri utaona.
Uislam upo wazi hao waliofanya hivyo sio waislam kwamujibu wa uislam usome uislam uliyajua haya yote kabla yako hata wakati wa saw kuna watu Wali jifanya kua wapo na saw kumbe wanafiq jibu lako lipo kwenye tarekh ya saw na ndio maana watu hao Allah akawaandalia adhabu kali
 
islam-at-war.jpg

Hawa sio wa kukaribishwa The Cult of Death.
 
Europe inatakiwa Reconquista dhidi ya hii Dini ya chuki dhidi ya Dini nyingine
Uislam ni mwema sana, haujawahi kuwa na fujo na yeyote, soma kuhusu hiyo Spanish Inqwisition. Utaelewa hilo.

Haujiulizi kwanini wazungu watumie nguvu kubwa kuupifa vita Uislam"

Jibu ni jepesi sana, Uislam unafundisha kuwa sisi sote ni wachungaji, hakuna komdoo. Kila mmoja wetu amchunge mwenzake kufanya mema.
 
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.

Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?

London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.

Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.

Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:



View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi

Sawa, isitokee tu kama Gaza Palestine, baadae wadai uingereza ni kwao na wazungu wahame na kuanzisha vita kuwateketeza.
 
Ndio maana na kuambia haki huja hata kwa kuchelewa ? Kwann wewe hutaki Palestine iwe huru ? Mbona sisi tumejikomboa kwa muingereza
Au taifa teule ndio Lina haki ya kutawala
Shida iliyopo ni kuwa wayahud na waarabu wana haki sawa kumiliki eneo lile so hakuna wa kumtoa mwenzie
 
WaIberia walisilimishwa na Majeshi ya Kiarabu kwa nguvu lakini Uisilamu ulikuja kutolewa na Waarabukufurushwa na kukimbila Moroco.
Liberia hakuna Waislam ?
Hata huko London umesikia mtu anasilimishwa kwa nguvu ?

Kula nondo hii
 

Attachments


Kamsikilize Marehemu Sheikh Ilunga utaelewa kidogo jinsi Ukristo ulivyopenya katika uislam

Kwa ushahidi wa maandiko na kamusi za dini ya kiislam ambazo zimeandaliwa na Mapadre😂😂😂

Pia Middle East vyuo vikuu vingi vya kiislama vinafundishwa na Waisrael na wamarekani wakijifanya waislam huku wakiharibu mambo mengi katika uislam😂🤣
 

LONDONISTAN: MISIKITI MIPYA 423, MAKANISA 500 YALIYOFUNGWA​

Home > News & Events > LONDONISTAN: 423 MISIKITI MPYA, MAKANISA 500 YALIYOFUNGWA
LONDONISTAN: 423 MISIKITI MPYA, 500 CLOSED CHURCHES (Friday Church News Notes, Aprili 7, 2017, www.wayoflife.org, fbns@wayoflife.org, 866-295-4143) - Ifuatayo ni dondoo kutoka "Londonistan," Giulio Meotti, Taasisi ya Gatestone, Apr. 2, 2017: "'London ni zaidi ya Kiislamu kuliko nchi nyingi za Kiislamu zilizowekwa pamoja' kulingana na Maulana Syed Raza Rizvi, mmoja wa wahubiri wa Kiislamu ambaye sasa anaongoza 'Londonistan' kama mwandishi wa habari Melanie Phillips ameita Mji mkuu wa Kiingereza. … Londonistan, pamoja na misikiti yake mpya ya 423, imejengwa juu ya magofu ya kusikitisha ya Ukristo wa Kiingereza. Kanisa la Hyatt United lilinunuliwa na jamii ya Misri ili kubadilishwa kuwa msikiti. Kanisa la Mtakatifu Petro limegeuzwa kuwa msikiti wa Madina. Msikiti wa Brick Lane ulijengwa katika kanisa la zamani la Methodisti. Sio tu kwamba majengo yamebadilishwa, lakini pia watu. Idadi ya waongofu katika Uislamu imeongezeka maradufu; Mara nyingi wanaukumbatia Uislamu wenye msimamo mkali, kama ilivyo kwa Khalid Masood, gaidi aliyepiga Westminster. Gazeti la Daily Mail lilichapisha picha za kanisa na msikiti mita chache kutoka kwa kila mmoja katikati ya London. Katika Kanisa la San Giorgio, lililoundwa kwa ajili ya kuwapokea waabudu 1,230, ni watu 12 tu waliokusanyika kusherehekea Misa. Katika Kanisa la Santa Maria, kulikuwa na watu 20. … "Katika miaka mingine 20 kutakuwa na Waislamu wenye bidii zaidi kuliko wale wa kanisa," alisema Keith Porteous Wood, mkurugenzi wa Jumuiya ya Kitaifa ya Secular. Tangu 2001, makanisa 500 ya London ya madhehebu yote yamegeuzwa kuwa nyumba za kibinafsi. Katika kipindi hicho, misikiti ya Uingereza imekuwa ikiongezeka. … Wahhabis wanadhibiti asilimia sita ya misikiti nchini Uingereza, wakati Deobandi mwenye msimamo mkali anadhibiti hadi asilimia 45. … London pia imejaa mahakama za sharia. Kuna jumla ya 100. … Balozi wa Uingereza nchini Saudi Arabia, Simon Collis, alisilimu na kukamilisha hija kwenda Makka, Hijja. Kwa sasa anajiita Haji Collis."

Chanzo: LONDONISTAN: 423 NEW MOSQUES, 500 CLOSED CHURCHES – Wheatland Baptist Church
Takbir......
 
Kamsikilize Marehemu Sheikh Ilunga utaelewa kidogo jinsi Ukristo ulivyopenya katika uislam

Kwa ushahidi wa maandiko na kamusi za dini ya kiislam ambazo zimeandaliwa na Mapadre😂😂😂

Pia Middle East vyuo vikuu vingi vya kiislama vinafundishwa na Waisrael na wamarekani wakijifanya waislam huku wakiharibu mambo mengi katika uislam😂🤣
Uongo
 
Back
Top Bottom