AlhamduliLlah.Cha ajabu ni nini?
Mbona Tanzania kuna Waislam wengi tu akina Shehe Mwaipopo ambao ni Wakatoliki
Uislam uko Afghanistan pekee
Huko kwingine kote ni Uislam wa Katoliki ndio sababu wanakimbilia Ulaya kula Bata 😄
Uislam wa akina mh January
Uislamu umekuwa baraka na tishio kwa Ulaya, na jukumu lake katika Ulaya ni gumu:Wanakimbia kwao wanaenda kuharibu nchi za wengine
Hahaha, ikawaje?Mchungaji Mtikila aliwahi kununua Msikiti pale Ilala
Ni kawaida Sana Hakunaga ajabu yoyote
Kila mwislamu aliyefanikiwa ameshikwa mkono na Mgalatia kama unabisha angalia Viongozi wote wa Kiislam hapa Bongo ama wameoa au kuolewa na Wakristo 😄😄 tukianzia na Prof Lipumba wa Mujahideen 😀
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.
Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?
London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.
Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.
Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:
View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi
Wewe upo Africa hujawahi toka nnje ya baralako unaumia nini???Wanakimbia kwao wanaenda kuharibu nchi za wengine
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.
Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?
London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.
Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.
Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:
View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi
Kweli ni kama maji ya bwawa la mavi ambalo hutunza kambaleUislamy ni kama maji
Hapa kinachozungumziwa sio uarabu/waarabu, tunazungumzia uislam/waislam. Jaribu kufikiria unawafurusha vipi waislam ambao ni waingereza ?Soma Historia ya Portugal na Spain Waarabu walivamia na kutawala kwa karibia 600yrs na wakatolewa kwa kipigo na kufurushwa.
Njoo oman nitakupeleka kanisaniIngependeza Saudi Arabia, Qatar, Kuwait, Oman, Pakistan, Bangladesh na Iran nako kujae makanisa
Njoo oman nitakupeleka kanisani
Kuna Nchi uhamiaji unawasumbua kama Sweden huko ambao wame chukua wahamiaji holela ambao contribution kwa taifa ni ndogo ila London ama Uingereza kwa Ujumla bila waarabu/Wahindi wangeshapoteza relevance kwenye hii dunia. Leo hii toka wamejitoa EU ni Nchi za kiarabu ndio zina maintain huo uchumi.Hii ndio itafanya Trump achaguliwe tena Marekani,
Uhamiaji holela,
Mpaka Yesu?MAKOBAZI yote ni MOTONI.
Huko hataki hata kupasikiaUngeishi Afghanistan, ungefaidi sana maisha na jamaa zako Wataliban.
London ni financial centre of the world tangu karne ya 18, kila tajiri duniani anataka kupeleka pesa zake London, kuanzia Warusi, Wachina, Waarabu hadi mafisadi wa AfricaKuna Nchi uhamiaji unawasumbua kama Sweden huko ambao wame chukua wahamiaji holela ambao contribution kwa taifa ni ndogo ila London ama Uingereza kwa Ujumla bila waarabu/Wahindi wangeshapoteza relevance kwenye hii dunia. Leo hii toka wamejitoa EU ni Nchi za kiarabu ndio zina maintain huo uchumi.
London nickname yake ni 8th Emirate, kuna Mamia ya Bilioni investments za Gulf kuanzia Real estate, Energy, Bandari na sekta kibao.
WaIberia walisilimishwa na Majeshi ya Kiarabu kwa nguvu lakini Uisilamu ulikuja kutolewa na Waarabukufurushwa na kukimbila Moroco.Hapa kinachozungumziwa sio uarabu/waarabu, tunazungumzia uislam/waislam. Jaribu kufikiria unawafurusha vipi waislam ambao ni waingereza ?
Je sifa za mpinga Kristo anazo nani? According to Biblia?Uislamu umebuniws miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, yote yalitabiriwa, ujio wa mpinga Kristo, sikutegemea itendeke kwenye kizazi hiki.
Mkristo atakayevumilia hadi mwisho ndiye ataokoka, maana shetani sasa hivi anatumia nguvu nyingi sana kutumia mawakala wake wote.
Hio ni sifa ya waisilamu?37 Neither shall he regard the God of his fathers, nor the desire of women, nor regard any god: for he shall magnify himself above all. 38 But in his estate shall he honour the God of forces: and a god whom his fathers knew not shall he honour with gold, and silver, and with precious stones, and pleasant things.