Londonistan haiepukiki

Londonistan haiepukiki

Huo uislam london ni wahamiaji tu toka nchi za kiislam, hakuna wazungu watakaobudu uislam wakati wanajua chanzo chake. By the way soon uislam wa london utakuwa una umagharibi mwingi na kufanya uislam asilia utoweke na hatimaye uislam kufutika duniani kirahisi hata bila vita kali
 
Ukitoa Waarabu na Wamarekani nani yupo Interested toka wajitoe EU? Nipe na data.
Unaijua London vizuri??
Mabilionea kutoka China, Urusi, India na kila mahali pamoja na makampuni yao wanaweka pesa nyingi sana London.
London ndio jiji linaloongoza kupokea FDI duniani na jiji namba linavoutia zaidi kuwekeza pesa.
 
Ingependeza Saudi Arabia, Qatar, Kuwait, Oman, Pakistan, Bangladesh na Iran nako kujae makanisa
Fact ambayo wengi hamtaki kuizungumzia ni Middle East/East/NorthAfrica pekee Dunia nzima ndio utakuta Makanisa ambayo yapo toka wakati wa Yesu.

Makanisa kama Coptic Egpty, Maronite Lebanon, orthodox (walipojitenga ndio ukatoka Ukatoliki) na branch zake kama Armenian Christians, Melikite etc.

Kwanini Ulaya na maeneo mengine duniani ambayo tunaaminishwa wakristo wanaishi kwa amani hakuna haya madhehebu?
 
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.

Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?

London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.

Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.

Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:

View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi

Ni kweli kabisa.
Ulaya inazamia katika itikadi za wahamiaji hasa toka nchi za mashariki ya kati na Asia.

Sababu kubwa ya hilo kutokea, moja ni ukoloni.
Wakoloni waliwaaminisha waliowatawala kuwa kwao ni kuzuri, hivyo aliyetawaliwa akaamini na kutumia haki yake na kuhamia huko.

Pili, ni ujinga, ushenzi(kukosa ustaarabu) wa wazungu wenyewe.
Wengi wameamua kumdharau Mungu katika maisha yao ya kila siku.
Makanisa yanageuzwa disco.

Heri waonje uislamu kuliko ushenzi wanaoupapatikia.
 
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.

Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?

London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.

Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.

Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:

View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi

Vip Gaza kipondo kimefikia wapi
 
Uislamu umebuniws miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, yote yalitabiriwa, ujio wa mpinga Kristo, sikutegemea itendeke kwenye kizazi hiki.
Mkristo atakayevumilia hadi mwisho ndiye ataokoka, maana shetani sasa hivi anatumia nguvu nyingi sana kutumia mawakala wake wote.
Jmn mbona nyie ndio mnafanya mambo yaliyo kinyume na biblia yenu ..waislam wanafata tamudini zao zile zile mpk mnawaita washamba ,
 
Fact ambayo wengi hamtaki kuizungumzia ni Middle East/East/NorthAfrica pekee Dunia nzima ndio utakuta Makanisa ambayo yapo toka wakati wa Yesu.

Makanisa kama Coptic Egpty, Maronite Lebanon, orthodox (walipojitenga ndio ukatoka Ukatoliki) na branch zake kama Armenian Christians, Melikite etc.

Kwanini Ulaya na maeneo mengine duniani ambayo tunaaminishwa wakristo wanaishi kwa amani hakuna haya madhehebu?
Ulaya mashariki yote wamejaa coptics, maronite na Orthodox.
America na Ulaya ziko dini zote, yako makanisa yote, misikiti yote, madhehebu yote, mahekalu yote, masinagogi yote, atheists, agnostics na hadi waabudu shetani.
 
Soma Historia ya Portugal na Spain Waarabu walivamia na kutawala kwa karibia 600yrs na wakatolewa kwa kipigo na kufurushwa.
Wazungu washaachana na mungu-mwana-mtu aliyetoa/jitoa kukomboa binadam na dhambi ya asili ambayo hawakufanya
 
Attachments

  • FB_IMG_1728475764734.jpg
    FB_IMG_1728475764734.jpg
    33.6 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1728292108590.jpg
    FB_IMG_1728292108590.jpg
    70 KB · Views: 11
Back
Top Bottom