imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
Waisilamu miaka yote wametawaliwa na Waarabu.Ukiona kuna u[potoshaji si unaupinga kwa ushahidi? Au darasa la kikonggoo?
Uislam ndiyo jibu lako la maisha.
Waisilamu miaka yote wametawaliwa na Waarabu.Ukiona kuna u[potoshaji si unaupinga kwa ushahidi? Au darasa la kikonggoo?
Uislam ndiyo jibu lako la maisha.
Majonzi ya nini mkuuJUzi hapa kulitokea xenophobic attack kwa raia wahamiani hasa waislamu , but serikali ikaww upande wa wahamiaji na bii trend nadhani ni imetapakaa nchi nyingi sana za ulaya Alhamdulillah, yaliyotabiriwa yanatimia ila nina furaha na majonzi pia .
Uislam haujali nani anagtawala, mradi afate haki tu.Waisilamu miaka yote wametawaliwa na Waarabu.
Una stress sanaHi ng'ombe kila siku inaeneza udini bak na iman yako
Kwa udini wako unaona hii habari njema kwako.LONDONISTAN: MISIKITI MIPYA 423, MAKANISA 500 YALIYOFUNGWA
Home > News & Events > LONDONISTAN: 423 MISIKITI MPYA, MAKANISA 500 YALIYOFUNGWA
LONDONISTAN: 423 MISIKITI MPYA, 500 CLOSED CHURCHES (Friday Church News Notes, Aprili 7, 2017, www.wayoflife.org, fbns@wayoflife.org, 866-295-4143) - Ifuatayo ni dondoo kutoka "Londonistan," Giulio Meotti, Taasisi ya Gatestone, Apr. 2, 2017: "'London ni zaidi ya Kiislamu kuliko nchi nyingi za Kiislamu zilizowekwa pamoja' kulingana na Maulana Syed Raza Rizvi, mmoja wa wahubiri wa Kiislamu ambaye sasa anaongoza 'Londonistan' kama mwandishi wa habari Melanie Phillips ameita Mji mkuu wa Kiingereza. … Londonistan, pamoja na misikiti yake mpya ya 423, imejengwa juu ya magofu ya kusikitisha ya Ukristo wa Kiingereza. Kanisa la Hyatt United lilinunuliwa na jamii ya Misri ili kubadilishwa kuwa msikiti. Kanisa la Mtakatifu Petro limegeuzwa kuwa msikiti wa Madina. Msikiti wa Brick Lane ulijengwa katika kanisa la zamani la Methodisti. Sio tu kwamba majengo yamebadilishwa, lakini pia watu. Idadi ya waongofu katika Uislamu imeongezeka maradufu; Mara nyingi wanaukumbatia Uislamu wenye msimamo mkali, kama ilivyo kwa Khalid Masood, gaidi aliyepiga Westminster. Gazeti la Daily Mail lilichapisha picha za kanisa na msikiti mita chache kutoka kwa kila mmoja katikati ya London. Katika Kanisa la San Giorgio, lililoundwa kwa ajili ya kuwapokea waabudu 1,230, ni watu 12 tu waliokusanyika kusherehekea Misa. Katika Kanisa la Santa Maria, kulikuwa na watu 20. … "Katika miaka mingine 20 kutakuwa na Waislamu wenye bidii zaidi kuliko wale wa kanisa," alisema Keith Porteous Wood, mkurugenzi wa Jumuiya ya Kitaifa ya Secular. Tangu 2001, makanisa 500 ya London ya madhehebu yote yamegeuzwa kuwa nyumba za kibinafsi. Katika kipindi hicho, misikiti ya Uingereza imekuwa ikiongezeka. … Wahhabis wanadhibiti asilimia sita ya misikiti nchini Uingereza, wakati Deobandi mwenye msimamo mkali anadhibiti hadi asilimia 45. … London pia imejaa mahakama za sharia. Kuna jumla ya 100. … Balozi wa Uingereza nchini Saudi Arabia, Simon Collis, alisilimu na kukamilisha hija kwenda Makka, Hijja. Kwa sasa anajiita Haji Collis."
Chanzo: LONDONISTAN: 423 NEW MOSQUES, 500 CLOSED CHURCHES – Wheatland Baptist Church
Nje ya udini unataka niwe pagani? Sikuelewi.Kwa udini wako unaona hii habari njema kwako.
Mbona wanazikimbia Nchi zao na kwenda kwenye Nchi za "Makafiri" ambazo hawafuati Uislamu?!Uislam haujali nani anagtawala, mradi afate haki tu.
Unajuwa kazi mpoja ya Muislam nikufikisha ujumbe wa Mwenyeezi Mungu?Mbona wanazikimbia Nchi zao na kwenda kwenye Nchi za "Makafiri" ambao hawafuati Uislamu?!
Nani kakuambia hakuna makanisa lakini nani atafata dini haijaletwa na Mungu, hivi ukristo nani kauleta katika Mitume wa MunguIngependeza Saudi Arabia, Qatar, Kuwait, Oman, Pakistan, Bangladesh na Iran nako kujae makanisa
Hii unajuwa ni wapi:Mbona wanazikimbia Nchi zao na kwenda kwenye Nchi za "Makafiri" ambao hawafuati Uislamu?!
Wangekua sio wajinga wasingeruhusu kufirana na kusaganaHao magaidi soon wanafanyiwa Deportation, wazungu sio wajinga kama waarabu!
Mumeacha kutumia Majambiya na Upanga mumeanza kutangaza Dini kwa Uhamiaji Haramu?!Unajuwa kazi mpoja ya Muislam nikufikisha ujumbe wa Mwenyeezi Mungu
Hua hawakubali ila hawana namna lazima iwe tu na ndio inakuaMchina, Mrusi na Marekani hawawezi kubali hizi mambo.
Kuna siku watajutaHao watu wa London wanaachia nyani shamba Kuna siku watavuna mabua.
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.
Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?
London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.
Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.
Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:
View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi
Lakini mleta uzi kaleta tu habari mkuu au kuna bayaHongera zao ila sio jambo la ajabu sana ni vile waislam nanyi mshakua watu wa propaganda hata zisizo na maana kama watu wa magharibi
Na ubaya hizi propaganda ndizo zinahubiriwa misikitini na kwenye mihadhara. Juzijuzi hapa umeleta uzi wa Cristiano Ronaldo kuslim, picha zenyewe ni za AI, hizo propaganda zinakuzwa kumbe ni uongo mtupu.
Dini ikikua wala hutahitaji jf, itajisemea tu yenyewe, mabadiliko hayajifichi.
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.
Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?
London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.
Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.
Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:
View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi
Matusi ya nini kijana?Wewe sijui nyoko faiza jipe moyo tu Uislsm na ushetani wetu utamalizwa tu kisha nawe utaenda kuwa miongoni mwa bikra wa allah