Londonistan haiepukiki

Londonistan haiepukiki

Wazungu washaachana na mungu-mwana-mtu aliyetoa/jitoa kukomboa binadam na dhambi ya asili ambayo hawakufa
Sio kwamba Uislamu unakua huko Europe ukweli ni kwamba Wahamiaji ndio wanazaliana.

Mzungu keshaachana na mambo ya Religion wengi ni Atheists lakini hawawezi kukubaliana na Islamic Dectatorship.

Mzungu anaujua huo Uislamu kuliko ninyi mliokaririshwa huko Madrasa.

Europe kuna Maelfu ya Universities wakati nini mna mamilioni ya Madrasas hamtawaweza hata suku moja.
 
Sio kwamba Uislamu unakua huko Europe ukweli ni kwamba Wahamiaji ndio wanazaliana.

Mzungu keshaachana na mambo ya Religion wengi ni Atheists lakini hawawezi kukubaliana na Islamic Dectatorship.

Mzungu anaujua huo Uislamu kuliko ninyi mliokaririshwa huko Madrasa.

Europe kuna Maelfu ya Universities wakati nini mna mamilioni ya Madrasas hamtawaweza hata suku moja.
Waca porojo, msikilize Mwingereza msomi huyu anasema Yeu hakuwahi kuhubiri ukristo:


View: https://youtu.be/qvBNViZG0Mk?si=BVDmrrDWABumKOU9
 
Kwahiyo Bibie Faiza Foxy unataka Uingereza iwe na Ayatolah Starmer au King Ayatolah Charles?!

Vilemba na Chuki dhidi ya Makafiri vitawale pale House of Commons?

Unataka Europeans waachane na Innovations waanze kuangaliana nani hajavaa Hijabu na nani hafugi ndevu?!
 
Hao watu wa London wanaachia nyani shamba Kuna siku watavuna mabua.

Na wasije wakasema hukuwaambia. Kuendekeza kuenea kwa chombo cha kukuza tamaduni, mila na desturi za waarabu (uislam) zitakuja kuwagharimu pakubwa sana. Waarabu siyo watu wa kuwaachia kirahisi wazaane na kuenea huko na huko itasababisha hatari kubwa kwa ustaarabu na tamaduni za waingereza.
 
Hao magaidi soon wanafanyiwa Deportation, wazungu sio wajinga kama waarabu!
 
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.

Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?

London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.

Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.

Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:



View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi

Mnaota!!
 
Mchina, Mrusi na Marekani hawawezi kubali hizi mambo.
 

Attachments

  • 2024_10_21_17.49.24_edit_2.jpg
    2024_10_21_17.49.24_edit_2.jpg
    157.5 KB · Views: 13
  • 2024_10_21_17.45.52_edit.jpg
    2024_10_21_17.45.52_edit.jpg
    105.8 KB · Views: 9
  • 2024_10_21_17.58.02_edit_2.jpg
    2024_10_21_17.58.02_edit_2.jpg
    160.9 KB · Views: 10
Uislamu umekuwa baraka na tishio kwa Ulaya, na jukumu lake katika Ulaya ni gumu:


  • Ushawishi wa kitamaduni
    Uislam umejenga utamaduni wa Ulaya kwa njia nyingi, ikiwa ni pamoja na usanifu, sanaa, na kilimo. Kwa mfano, sinagogi la Türkischer Tempel huko Vienna liliathiriwa na usanifu wa Kiislamu.

Skku zote unaruka ruka eti ooh mara uislam ni dini, mara imani thabiti na kali. Ona sasa wee mwenyewe umesema ni utamaduni. Yaani uislam ni total way of living of the society.
 
Sikukuulia hao ni nani, nimekuuliza hiyo ni wapi? Ongezea hii:
Hao ni Wahamiaji haramu walioenda na Dini yao lakini Waarabu Waisilamu walivamia Spain na Portugal na walitolewa wote.

Imebakia huko Turkey nako Kamal Ataturk alifanya kazi kubwa sana ila huyu Erdoğan anataka kuleta za kuleta.
 
Back
Top Bottom