London Riots

Mkuu kwa watu ambao wamekaa UK hawawezi kushangaa kabisa hii issue... UK ni Community in Disarray..., Yaani ukikaa na vijana ukawasikiliza mawazo yao utagungua kwamba the coming generation hawa jamaa future yao ni ya kuonea huruma sababu ya yafuatayo
  • Malezi mabovu
  • Uchumi kushuka
  • EU watu kutoka nchi nyingine wanakuja kuchuma UK wakati English people ni wavivu wenzao wana-migrate na kujifunza wenyewe wamekaa tu (Polish ni more employable na hard working kuliko Born English People
  • Racial Tensions (Black, Pakistan, British White na Non British White)
  • Second Generation Immigrants wamepoteza muelekeo hawana uchungu na UK wala hawana maadili ya walipotoka wanaishi kwa conspiracy kwamba the system is against them
  • Welfare na watu kutegemea system na ku-cheat the system ni mzigo kwa nchi
  • Vijana kuona kwamba Gang Culture ndio ujanja
  • Baada ya maisha ya Holland kuwa magumu kuna wimbi la wakimbizi wengi wa Somalia kuhamia UK (na hii ni another segment ya different culture ambayo imeingia UK kwenye a multiculture ambayo its not working at all)
  • Kila mtu kufanya anachotaka kwa kisingizio cha haki za Binadamu
 
Haijalishi....bado ni wahamiaji tu. Warudi huko walikotoka wakapachome moto na kwenyewe. Kazi kuharibu vya wengine tu. Nyambaaaaf kabisa. Piga risasi za makalio wote hao.

Hawa hawana kwao. Walizaliwa hukohuko na wazazi wao wamezaliwa hukohuko. Ni waingereza weusi. Waliletwa na hao waingereza weupe kama watumwa. Baada ya kwisha utumwa basi weusi wengi walibakia huko wakiwa hawajui wataenda/wametoka wapi. Hii ndiyo athari ya utumwa.
 
hata wao ni wezi wakubwa tena wa wazi wa rasilimali zetu, wako huku wanaiba madini na kila utajiri tulio nao kupeleka kwao hivyo siamini kama waafrica walioko huko wanaiba mali za wazungu bali wanazitumia rasilimali zao wenyewe zilizoibwa kutoka nchini mwao
 
Ukienda Rome Italy hali inatisha zaidi mambo wanayofanya ndugu zetu weusi hususan kutoka west africa.

Tutafanyaje na wamezamia huko bila kufata procedures? au kujiingiza kwenye magenge ya madawa, uhuni na wizi.
 
JAMANI, SISI WAAFRIKA MBONA TUNAJIZALILISHA NAMNA HII.

MATUKIO YA WIZI WA KUHARIBU MALI NA KUIBA VITU, WALIOKUWA MSTARI WA MBELE NI NDUGU ZETU WEUSI,

WAKITUSEMA VIBAYA TUNALALAMIKA.

CLICK HII LINK UJIONEE MWENYEWE

Deputy PM Denies Crisis Over London Riots

This guy ain't black brother

180_Image_burglar.jpg
 
hata wao ni wezi wakubwa tena wa wazi wa rasilimali zetu, wako huku wanaiba madini na kila utajiri tulio nao kupeleka kwao hivyo siamini kama waafrica walioko huko wanaiba mali za wazungu bali wanazitumia rasilimali zao wenyewe zilizoibwa kutoka nchini mwao

Mkuu hizi issue za kumlaumu mjukuu kwa makosa ya babu yake sidhani kama yatatufikisha kwenye muafaka
 
JAMANI, SISI WAAFRIKA MBONA TUNAJIZALILISHA NAMNA HII.

MATUKIO YA WIZI WA KUHARIBU MALI NA KUIBA VITU, WALIOKUWA MSTARI WA MBELE NI NDUGU ZETU WEUSI,

WAKITUSEMA VIBAYA TUNALALAMIKA.

CLICK HII LINK UJIONEE MWENYEWE

Deputy PM Denies Crisis Over London Riots

Je ni kweli kuwa wa africa walioko huko wanatakiwa kuwa wastaarabu zaidi yetu sisi ambao hata umeme mafuta na mengineyo ni shida. je wazungu wanaobomoa Libya kwa kisingizio cha kulinda raia huku wapalestina wakiumizwa na waisraeli ni sawa. je ni kweli kuwa hizo vurugu wanaofanya ni wazungu tu. Tuone ni jinsi gani watafanya vurugu zisiendelee maana wamezoea kunyooshea vidole nchi nyingine. May be NATO wataenda huko. All African Migrants are the wazungu's fate from west Africa.
 
This is the statement released by Iran regarding the London Riots

Iran called for London police to exercise self-restraint in dealing with protesters in Tottenham, north of London. Iranian Foreign Ministry Spokesman Ramin Mehmanparast referred to Saturday night's massive protests in Tottenham, which came following [the killing] of a young black man by Scotland Yard police and called for the UK government to avoid any police's harsh treatment with protesters. He stressed return of peace and calm to London through talks and examining demands of the demonstrators. Mehmanparast expressed hope independent human rights bodies would take measures to make clear facts behind murder of the black man soon.
 
A bit off the topic

Naomba basi rioters wapoe kidogo weekend hii walau tuone EPL matches, life sucks, na soka ndo kipozeo cha akina siye, let alone umeme wa kudunduliza...lmao.

Back to topic
UK wamekuwa under recession kwa mda mrefu sana, uchumi wao ume tumble to the lowest, kwa kiasi kikubwa hii ndio sbb kuu ya watu kuandamana na kufanya riots...
 
Hao polisi wamejitakia wenyewe, hili suala lingeisha before it started. Ni hivi baada ya jamaa kupigwa risasi, baadhi ya community members wakiambatana na local priest, local council workers and some neighbourhood members went to demand for answers. Jamaa walikaa nnje ya polisi peacefully wakiomba mkuu wa kituo atoke aelezee kilichotokea, ukweli wenyewe polisi wa mtaani hii si issue yao tena na hipo IPCC kama watu hawali walivyoelezea.

Lakini kwa jinsi polisi walivyo wa-treat wale peaceful protestors ndipo mzozo ulipoanza jama walikaa njee for almost two hours without a single official speaking to them (kwa wenzetu nitafsiri ya zarau na kutokujali). Ndipo binti mmoja mdogo mwenye hasira kujifanya mori zimepanda akakimbilia polisi na kutaka kumsukuma well officer nae akarudisha compliments binti wa watu akaenda chali. Hapo tena ndio makelele yakaanza na peace kugeuka taafrini la ajabu kilichoendelea ndio hadithi ya dunia.

It has to be said kinachoendelea sasa tena has nothing to do with the protest or anything to do with the murder. Its more to do with looting na hawa watoto wasio na adabu hata chembe but then can you blame them wakati polisi wanachukua soft approach while people are breaking into shops they just reamin as spectators for the most part.

Well let me go back listening to man Oleku.
 
This is the statement released by Iran regarding the London Riots

Iran called for London police to exercise self-restraint in dealing with protesters in Tottenham, north of London. Iranian Foreign Ministry Spokesman Ramin Mehmanparast referred to Saturday night's massive protests in Tottenham, which came following [the killing] of a young black man by Scotland Yard police and called for the UK government to avoid any police's harsh treatment with protesters. He stressed return of peace and calm to London through talks and examining demands of the demonstrators. Mehmanparast expressed hope independent human rights bodies would take measures to make clear facts behind murder of the black man soon.

They can't be serious. They should be the last ones to tell anybody to exercise restraint.
 
Kuna ule wimbo wa raggae una-chorus inasema "whip dem Jah jah jah whip dem". I guess na wao waone chaos ya kuwa bila amani. Wamezoea kuchochea kutokutawalika kwa Africans and other poor nations ili wapate urahisi wa kusepa na mali zetu. Acha manake Mungu na yeye atawakomesha. Na mbado!!!
It's their turn.....
 
Mwisho wa siku wanajiharibia tu wenyewe. Maduka hayo hayo wanayoyavunja ndiyo yanayotoa ajira na kuwauzia mahitajia yao ya mara kwa mara. Leo hii hao wenye maduka wote wakiamua kuacha kufanya shughuli zao hasara itakuwa kwa nani?
 
Britain is reaping what they sowed past two decades or so.

They operated open door policy to all kinda third worlders masquedaring as people running for their dear life. Truth was they were looking for green pastures. They flooded London in particular, also big cities of UK like Birmingham,Manchester etc.

And during boom time, of Labor regime and their never ending spending spree, fed them, educated them and basically brought up their children.

But alas, the hand that fed them, clothed them, housed them and educated them and their children is being bitten. The London riots is perpetrated by children or them former foreigners. No way Britons can stone chips and fish jot around the corner or ransack that Comet Superstore at the far end of the street. I can see any sane Briton torching a double- decker bus that he/she relies for transport. This are action by third worlders or their siblings. Its is, but pure demonstration of third world mindset.

But who can blame Britain for all ongoing riots? Kumbuka pia ilitokea riots kama hii 1985 same city!
 
They are considering suspending the use use Blackberry Messenger as its being used by the youth to organise the riots. Interestingly, when some Middle East countries banned the use of Blackberry altogether, some Western countries criticized the move. Now, they are heading in the same direction.
 
Back
Top Bottom