VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
tsunami was a natural disaster.... acha potosha watu..
Mkuu naomba unielewe yaani baada ya watu kukumbwa na hii natural disaster (Tsunami) lakini watu walikuwa calm na hakukuwa na panic (ndio maana nikasema culture ya watu ni calm)
Lakini Muingereza sio mtu wa kuwa calm na hii naweza nikaiweka kwenye hata washabiki wa mpira (mfano Millwall) yaani kuna kipindi watu walikuwa wanapanga groups za kufanya fujo baada ya mechi (hususan Chelsea ikicheza na Millwall) kwahiyo mkuu ni culture ya watu hata hapa kwetu fujo zikitokea Dodoma itakuwa tofauti na zikitokea Mara (haya naomba uniambie nimepotosha wapi)