London Riots

VoiceOfReason, umenyakua maneno kinywani kwangu. Ni-PM tukutane tuongee mbele ya kikombe cha chai. Hii nchi sio kama watu wengi wanafikiri ilivyo ('ilishakuwa'/Has-Been)! Olympics 2012 zitakuwaje sijui - wahuni wanaweza kuwasha moto kwenye treni au kijiji cha michezo?!

Wajapan wanamahadili (good manners). Hawa jamaa hawana kitu kama hicho. Na kweli kuna tension kubwa na rangi hapa. This may go further and I dont know what will happen next year wakati wa michezo ya olympic. Bora sikupata ticket nimeshapata sababu ya kuondoka wakati huo.
 
Safi sana waingereza uwa wanafiki sana,wanatabia ya kutengeneza mifumo kandamizi hiyo ni moja ya matokeo ya mifumo yao kandamiza.Mifumo yetu mara nyingi tunakopi na kupaste mifumo yao
 
Safi sana waingereza uwa wanafiki sana,wanatabia ya kutengeneza mifumo kandamizi hiyo ni moja ya matokeo ya mifumo yao kandamiza.Mifumo yetu mara nyingi tunakopi na kupaste mifumo yao

Lakini wanaoandamana na kuchoma nyumba na maduka makubwa makubwa ni vijana walio chini ya miaka 25 wengi wao hawana kazi za kufanya na wengi shule matatizo. Kwenye fujo ndiko masikini wa Uingereza wengi wanaishi Tottenham, Peckham, Brixton na sasa Croydon. Croydon haikuwa na wageni wengi kama totts na Brixton. Cha kushangaza West field nayo imevamiwa hii ni west end ambayo kwa asili ni more developed na kazi huwa zinapatikana. Twitter inalaumiwa pamoja na text messages kwa ku-organize hii tafrani.

Cameron anarudi usiku huu kuhudhuria kikao cha Cobra kesho kuwachukulia hatua kali wahusika na kudhibiti hali maana ni aibu kwa chama tawala kushindwa na vijana wakorofi ambao wamechoma takriban mali za mamillioni. Huko stock markets zinachechemea ... .... ..

Wanatuabisha sisi weusi

Wanajiaibisha wenyewe.

Na hao wahamiaji waondoke warudi kwenye nchi zao walizotokea.

Wamekuwa Waingereza sasa sio wahamiaji tena kutokana na sheria zilizopo.
 
Wamekuwa Waingereza sasa sio wahamiaji tena kutokana na sheria zilizopo.

Haijalishi....bado ni wahamiaji tu. Warudi huko walikotoka wakapachome moto na kwenyewe. Kazi kuharibu vya wengine tu. Nyambaaaaf kabisa. Piga risasi za makalio wote hao.
 
Haijalishi....bado ni wahamiaji tu. Warudi huko walikotoka wakapachome moto na kwenyewe. Kazi kuharibu vya wengine tu. Nyambaaaaf kabisa. Piga risasi za makalio wote hao.

Demokrasia hairuhusu hayo kama ulifuatilia hii issue kulikuwa na maandamano baada ya yule kijana kupigwa risasi na polisi .... .... kuna tume huru kwa kiswahili au wenzetu wanaita police complaints commisssion inafanya uchunguzi. Sasa vijana walitumia huo mwanya baada ya maandamano kuanza kuchoma na kuiba nk nk . UK wanaruhusu kila aina ya maandamano ingekuwa Tanzania si mliona Arusha nini kilitokea ..................... Freedom of speech na demokrasia ya ukweli ipo UK. Hawa wote wakorofi watasombwa moja baada ya mwingine kwa sababu almost the whole of London ipo under surveillance.

Nakupa guarantee wote wakorofi watakiona cha mtema kuni pamoja na wale waliokuwa wanakwapua kwenye maduka. Polisi wanafahamu kazi yao sio kama wale wakwetu wanaopiga watu mateke wakati wapo chini ya ulinzi.

Hii ni preamble labda kwa sababu mwakani ni Olympics nafikiri mkazo mkubwa umekuwa huko.
 
Asilimia kubwa ni vijana wadogo,hawajui ni kiasi gani wanajiaribia maisha yao ya mbeleni kwa ajili ya vitu kama trainer,mobile phone n.k. Baadhi yao watakamatwa na majina yao yatakuwa kwenye CRB itakuwa ngumu sana kupata kazi ya maana hata kama umesoma kiasi gani.

Wengi wa kulaumiwa ni wazazi wao.Unaona hizi vurugu kwenye Tv na bado utafuti watoto wako wako wapi!
 
Mkuu hii issue inaonekana ni zaidi ya polisi kumpiga mtu risasi. Nasikia huwa inatokea kila Conservative wakiwa madarakani. They are forces behind this.
Juzi ilivyoanza waliita disturbance, leo wamekuja openly na kusema riots sijui kesho watasema nini?
 
taste of their own medicine .wamezoe kuwaincite waarabu leo zamu yao.let the peacefull activitist do their thing kwani cameron just lost his legitimate as a PM
 
Wanajiaibisha wenyewe.
Labda ningeandika "Tunaendelea kujiabisha sisi weusi" Tuna endelea kuudhirishia ulimwengu tuna penda wizi, iwe ni kwenye kudai haki zetu tunaiba mfano wakati wa uchaguzi mkuu Kenya na hata kwenye maafa kama Haiti earthquake bado tunaiba.Weusi ndivyo tulivyo
 
Hivi hujawaona watoto wakizungu wakiiba kwenye hayo maduka?
 
looters_1356709a.jpg

Smashed ... hooded looters storm shop in Hackney
 
Sasa si utowe mfano wa wewe kurudi? Mwanza, Shinyanga na Tabora mwaka huu njaa kali sana. Hakuna Matoborwa.

USA kuna waka moto kwenye Minada yake. UK kuna waka moto kwenye miji yake. Kote ni mapigo tu ila kwani Mami una mpango wa kukimbia?

By the way: Jumamosi nimeona kitoto kizuri na kikawa kinanichekea. Nilipotaka kuanza kutuma majeshi, kikanyenyua mikono juu, naangalia kikwapa kimelowana. Nikaona palepale uso wake na kimdudu cha Yo-Yo vinanicheka. Nikasepa kiaina.
Na hao wahamiaji waondoke warudi kwenye nchi zao walizotokea.
 
article-2023734-0D59FD7800000578-29_634x410.jpg

Huyu jamaa anadai yuko incharge wakati mambo yanakwenda kombo

CROYDONMAIN-682_1356818a.jpg

Terrifying ... huge blaze rips through store in Croydon

burnmain_1356706a.jpg

Brazen ... rioter walks past burning car in Hackney

peckham4_1356723a.jpg

Inferno ... buildings go up in flames in Peckham

r1_1356732a.jpg

In flames ... streets of Hackney are under siege

BIRMINGHAM-682B_1356775a.jpg

Spreading ... McDonalds in Birmingham city centre is attacked

Back
Top Bottom