Livingstone Lusinde: Asante Zitto kwa kutuachia jimbo

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
11001908_1394999014145357_8017458378206469793_n.jpg

Livingstone Lusinde ‎TANURU LA FIKRA

Asante Zitto kwa kutugaiwa jimbo sasa kazi ni kwetu tushindwe wenyewe..Tunakushukuru sana Zito Kabwe kwa kuwa mwema kwetu, sasa wacha tukapambane na hao Manyang'au ole wao yamsimamishe mgombea tutashinda kwa asilimia 99.

Zitto hoyeee, CCM Hoyeeee

Darasa la saba , atawaza nini zaidi ya uharo tu, yeye mwenyewe jimboni amekalia kuti kavu.wagogo wa ndebwe wameapa kutokumchagua tena kwa kuwatia aibu kwa maneno yao ( ayu mdodo akauya na uzo) kwa maneno mengine hakushikilia vizuri mafunzo alipokuwa jandoni.
 
Alichokisema Lusinde kina mantiki fulani ndani yake.
Sidhani kama Wana-Kigoma Kaskazini watakuwa tayari kuipa CHADEMA lile Jimbo as wameshaiona CDM kama adui yao.
Kuna hatari ya Jimbo kurudi CCM au kwenda ACT au chama kingine chochote lakini siyo CDM.
 
Yeye lasaba lakini anaakili kuliko mbowe hapo vipi?
 
Alichokisema Lusinde kina mantiki fulani ndani yake.
Sidhani kama Wana-Kigoma Kaskazini watakuwa tayari kuipa CHADEMA lile Jimbo as wameshaiona CDM kama adui yao.
Kuna hatari ya Jimbo kurudi CCM au kwenda ACT au chama kingine chochote lakini siyo CDM.
Kwanza mpaka sasa hakuna chadema kigoma jimbo litakwenda na vyama vingine ila siyo kigoma.
 
11001908_1394999014145357_8017458378206469793_n.jpg

Livingstone Lusinde ‎TANURU LA FIKRA

Asante Zitto kwa kutugaiwa jimbo sasa kazi ni kwetu tushindwe wenyewe..Tunakushukuru sana Zito Kabwe kwa kuwa mwema kwetu, sasa wacha tukapambane na hao Manyang'au ole wao yamsimamishe mgombea tutashinda kwa asilimia 99.

Zitto hoyeee, CCM Hoyeeee

Amewatendea wema mwingi sana, huu tu ndo mmepata courage ya kuusema hadharani!
 
Kwa Wanaosoka biblia Imeandikwa Ya kwamba "Yesu alisema Jililieni Ninyi na Watoto wenu Kuliko kunililia Mimi"; Huyu Form Seven badala ya Kujiurumia Mwenyewe Kwa Kutoyajua Majaliwa yake Jimboni Mtera,yeye anaendeleza Comedy Zisizo na Kichwa wala Miguu.

Wenzake Wanajua Khali ilivyo tete na kwa sasa hawaongei, lakini kwa sababu ya Uelewa mdogo yeye anabwabwaja tu na Kuleta aibu kwa wapiga kura wake.

Wanamtera na WanaCCM Mkishindwa Kumpitisha Mzee Samwel Malechela Jimbo hilo kwenye Kura za Maoni basi Mpeni mwanae Le Mtuze kwa Maana Mkijidanganya Kumpitisha huyu Form Seven Basi UKAWA watapita mapema tu Alfajiri.
 
11001908_1394999014145357_8017458378206469793_n.jpg

Livingstone Lusinde ‎TANURU LA FIKRA

Asante Zitto kwa kutugaiwa jimbo sasa kazi ni kwetu tushindwe wenyewe..Tunakushukuru sana Zito Kabwe kwa kuwa mwema kwetu, sasa wacha tukapambane na hao Manyang'au ole wao yamsimamishe mgombea tutashinda kwa asilimia 99.

Zitto hoyeee, CCM Hoyeeee

CCM imebeba mizigo mingi mno, ndiyo maana inaelemewa!!
 
NISOME VIZURI KAMANDA, HILO LILIKUWA SWALI LA MTEGO KWA HUYO By mahakama ya kadhi NILITAKA ANIJIBU TU NIMPE USHAHIDI WA VIJIJI NA MITAA CHADEMA ILIKO SHINDA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAAA, NINGEMPA MPAKA TAKWIMU ZA USHINDI WA CHADEMA WILAYA YA KIBONDO KAKONKO , HADI MUHANGE BODA NA BURUNDI UMBALI WA KM 350 KUTOKA KIGOMA MJINI. MAANA KUNA WATU HUMU KUPOTOSHA UKWELI KWAO NI KAMA MAJI.,... CHADEMA ILIKUWEPO KIGOMA, ITAKUWEPO KIGOMA NA ITADUMU KIGOMA..
Hii yote ni kwa sababu ya Zitto, hata sijui CCM huwa mnamsifia Zitto kwa lipi?
 
Darasa la saba , atawaza nini zaidi ya uharo tu, yeye mwenyewe jimboni amekalia kuti kavu.wagogo wa ndebwe wameapa kutokumchagua tena kwa kuwatia aibu kwa maneno yao ( ayu mdodo akauya na uzo) kwa maneno mengine hakushikilia vizuri mafunzo alipokuwa jandoni.

Kuna darasa la saba wangapi wanaweza fanya makubwa?!mimi siyo mwanasiasa lakini nilipoona hili ni kama nimedharau,kama vipi walio kwenye siasa wote wasomi waende wakafanye kazi za utaalamu kulingana na elimu zao,siasa haiangalii darasa la saba nikijaribu kuitafakari siasa,upenzi wa vyama bwana...ni shida aiseee
 
Back
Top Bottom