TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,183
- 12,991
No research no right to speak,kwa taarifa yako Zito kuachia jimbo hakuna uhusiana na suala la kuondolewa CHADEMA,wanaofuatilia masuala haya na kuyadadavua tuliisha jua kuwa Zitto Uchaguzi wa 2015 anaenda Kigoma mjini kwani kwake atapita kama kusukuma mlevi kwani atagombea na mbunge wa sasa wa CCM ambaye wananchi waliisha hamua siku nyingi kuwa iwe awamu yake ya mwisho.Kwa upande wake Zito aliisha one nyota yake jimboni imefifishwa na Kijana mahiri professa aliykuwa professor huko Marekani,kaachia yote akarudi jimboni na kuishi na wanachi kijijini akisadiana nao katika mikakati ya kuleta maendelea,kajenga chuo kikubwa cha maendeleo na utalii,pia yuko mbioni kujenga chuo kikuu jimboni humo,huyo ni mwanachama wa CHADEMA na ni more charismatic na ana mvuto kwa wananchi kuzidi hata Zito Kabwe,pia kama walivyo wabunge wengi wa Kigoma ni mahiri katika kujenga hoja na ni mbishi hata kuzidi Zito.Aliombwa siku nyingi na wananchi agombee jimbo ilo na akakubali,Zito anaelewa kuwa licha ya kura ya maoni hawezi katu kushindanishwa na huyo jamaa jimboni kwake kwani lazima prof atashinda kwa kishindo,aligundua ilo mapema na katika kuangalia point of weakness akagundua ni kwa Serukamba.Hivyo Lusinde kama alikuwa na Ndoto hizo asahau kabisa,jimbo litabaki CHADEMA na mgombea kama watamuweka watapata aibu ya mwaka.Kama anadhani ni uzushi atume mtu jimboni humo afanye utafiti mdogo sana na majibu atayapata.
Tuombe Mungu iwe hivyo mkuu.
Huyo Profesa anaitwa nani?