Niko Kigoma, upepo wa siasa za upinzani huko hatarini si Kigoma kas pekee bali hata majimbo mengine at least 4 (Kigoma mjini, Kasulu.....)kurudi mikononi mwa mafisadi. Wakati ccm inahaha kupata wagombea majimbo mengine Kasulu tu pekee wamefiksha magamba 18 yaliyoonesha nia ya jimbo hilo; ni baada tu ya kusoma upepo wa mbuge aliyepo na matokeo uchaguzi serikali za mitaaa.
Hata hivyo waha hawatabiliki...upinzani na (sasa usaliti) vi ndani mwao. Chadema stiill have great chance. Ninachojua....wengi bado wanampenda Dr. Slaa....