Livingstone Lusinde: Asante Zitto kwa kutuachia jimbo

Livingstone Lusinde: Asante Zitto kwa kutuachia jimbo

cdm na sisi tuna shukuru kwa kutuachia jimbo la komba mapema hivi
 
Niko Kigoma, upepo wa siasa za upinzani huko hatarini si Kigoma kas pekee bali hata majimbo mengine at least 4 (Kigoma mjini, Kasulu.....)kurudi mikononi mwa mafisadi. Wakati ccm inahaha kupata wagombea majimbo mengine Kasulu tu pekee wamefiksha magamba 18 yaliyoonesha nia ya jimbo hilo; ni baada tu ya kusoma upepo wa mbuge aliyepo na matokeo uchaguzi serikali za mitaaa.


Hata hivyo waha hawatabiliki...upinzani na (sasa usaliti) vi ndani mwao. Chadema stiill have great chance. Ninachojua....wengi bado wanampenda Dr. Slaa....
Kasulu unless NCCR wamlete mgombea anayekubalika sana,jimbo iltaenda,kwa chama gani sijui kwani CCM walikuwa na nafasi nzuri lakini wagombea wote wanaoonyesha nia hadi sasa hawakubaliki kwa kiwango kikubwa,kilicho wazi ni kuwa wananchi wamemchoka mbunge wa sasa.Kwa Kibondo vilevile wananchi wamemchoka mbunge wao wa sasa kwani hata kupita kwake sio kwamba alikuwa anapendwa bali alifaidika na kura za maruhani baada ya CCM kusimamisha mgombe asiyekubalika,kama mbunge wa zamani ambaye kwa sasa ni RC akigombea tena kama watu wavayomtabilia basi jimbo litarudi CCM,lakini kama CCM wakirudisha wagombea wengine naowasikia basi ni kazi kwa NCCR kutafuta mgombea makini tofauti na wa sasa na jimbo ni la kwao.Pia kwa Kasulu vijijini huyu mbunge mwanamama hana chake,hivyo CCM wakijipanga wanaweza kurudisha baadhi ya majimbo ya mkoa wa Kigoma,lakini pia watapoteza Kigoma mjini endapo ni kweli Zito atagombea na pia jimbo lililoachwa na Zito litaendelea kuwa CHADEMA
 
king of social network LE MUTUZ anataka jimbo yaani yule na lusinde ni wale wale kweli wagogo ni wajinga
 
Lusinde na Mbowe nani ana akili?nauliza tu

Swali lako ni sawa ukatumwa dukani kununua mchele we unanunua Pumba.Mbowe atabaki kuwa Mbowe lkn hiki kinyago Lusinde kitakuwa Pumba cku zote. Hata ukienda kumuuliza majukumu yake bungeni nn cdhani kama anajua yupoyupo tu>
 
No research no right to speak,kwa taarifa yako Zito kuachia jimbo hakuna uhusiana na suala la kuondolewa CHADEMA,wanaofuatilia masuala haya na kuyadadavua tuliisha jua kuwa Zitto Uchaguzi wa 2015 anaenda Kigoma mjini kwani kwake atapita kama kusukuma mlevi kwani atagombea na mbunge wa sasa wa CCM ambaye wananchi waliisha hamua siku nyingi kuwa iwe awamu yake ya mwisho.Kwa upande wake Zito aliisha one nyota yake jimboni imefifishwa na Kijana mahiri professa aliykuwa professor huko Marekani,kaachia yote akarudi jimboni na kuishi na wanachi kijijini akisadiana nao katika mikakati ya kuleta maendelea,kajenga chuo kikubwa cha maendeleo na utalii,pia yuko mbioni kujenga chuo kikuu jimboni humo,huyo ni mwanachama wa CHADEMA na ni more charismatic na ana mvuto kwa wananchi kuzidi hata Zito Kabwe,pia kama walivyo wabunge wengi wa Kigoma ni mahiri katika kujenga hoja na ni mbishi hata kuzidi Zito.Aliombwa siku nyingi na wananchi agombee jimbo ilo na akakubali,Zito anaelewa kuwa licha ya kura ya maoni hawezi katu kushindanishwa na huyo jamaa jimboni kwake kwani lazima prof atashinda kwa kishindo,aligundua ilo mapema na katika kuangalia point of weakness akagundua ni kwa Serukamba.Hivyo Lusinde kama alikuwa na Ndoto hizo asahau kabisa,jimbo litabaki CHADEMA na mgombea kama watamuweka watapata aibu ya mwaka.Kama anadhani ni uzushi atume mtu jimboni humo afanye utafiti mdogo sana na majibu atayapata.
Hujakosea, zito ana tabia ya kuogopa na kuchukia watu wanaomzidi uwezo. Wakati wa sakata la Kafulila ndani ya CDM zito alinukuliwa akisema atahakikisha Kafulila anaingia bungeni kabla ya kina Mnyika, sijui alikuwa na hofu au chuki gani kwa kina Mnyika.

Nina hakika CDM wakijipanga vizuri majimbo ya Kigoma mjini na kaskazini watayachukua.
 
11001908_1394999014145357_8017458378206469793_n.jpg

Livingstone Lusinde ‎TANURU LA FIKRA

Asante Zitto kwa kutugaiwa jimbo sasa kazi ni kwetu tushindwe wenyewe..Tunakushukuru sana Zito Kabwe kwa kuwa mwema kwetu, sasa wacha tukapambane na hao Manyang'au ole wao yamsimamishe mgombea tutashinda kwa asilimia 99.

Zitto hoyeee, CCM Hoyeeee


Ngedere wewe CDM ilikuwepo Kigoma kabla ya zito.
 
Hujakosea, zito ana tabia ya kuogopa na kuchukia watu wanaomzidi uwezo. Wakati wa sakata la Kafulila ndani ya CDM zito alinukuliwa akisema atahakikisha Kafulila anaingia bungeni kabla ya kina Mnyika, sijui alikuwa na hofu au chuki gani kwa kina Mnyika.

Nina hakika CDM wakijipanga vizuri majimbo ya Kigoma mjini na kaskazini watayachukua.
Kigoma mjini atachukua Zito,sasa hatujui ni kwa chama gani,wengine wanasema CUF,wengine ACT,lakini kwa chama chochote atakachotumia hata iwe UDP au UPDP au kile cha Dovutwa nimekisahau jina.lazima ubunge wa Kigoma mjini atapata
 
Mbowe ana akili ndio sababu CHADEMA kila chaguzi kimefanya vizuri zaidi kuliko uchaguzi uliopita na kuwafanya Mainterahamwe kuweweseka na hata kutaka kumbambikia kesi zisizo na ushahidi hata chembe.

Lusinde na Mbowe nani ana akili?nauliza tu
 
Kigumu chama cha mapinduzi mawazo ya kijinga hutolewa na mtu mjinga huyu Lusinde angefaa kuwa muimbaji wa taarabu huko ccm mwaka huu ndo mwisho wa ubunge wake.
 
Kigoma mjini atachukua Zito,sasa hatujui ni kwa chama gani,wengine wanasema CUF,wengine ACT,lakini kwa chama chochote atakachotumia hata iwe UDP au UPDP au kile cha Dovutwa nimekisahau jina.lazima ubunge wa Kigoma mjini atapata
Zitto anahangaika sana alisema hatagombea ubunge tena huko kigoma mjini anaenda kugombea udiwani?
 
Kigoma mjini atachukua Zito,sasa hatujui ni kwa chama gani,wengine wanasema CUF,wengine ACT,lakini kwa chama chochote atakachotumia hata iwe UDP au UPDP au kile cha Dovutwa nimekisahau jina.lazima ubunge wa Kigoma mjini atapata
Tusubiri, Novemba si mbali sana.
 
Nilikuwa jimboni kwa Lusinde majuzi kwenye ziara ya Katibu. Nikasikia Watu Wa makamo wanaongea wakisema. Ayu mdodo Mlijite wapwapwawayangu. Hebu wagogo waliopo humu wanisaidie maana ya haya maneno.
 
Alichokisema Lusinde kina mantiki fulani ndani yake.
Sidhani kama Wana-Kigoma Kaskazini watakuwa tayari kuipa CHADEMA lile Jimbo as wameshaiona CDM kama adui yao.
Kuna hatari ya Jimbo kurudi CCM au kwenda ACT au chama kingine chochote lakini siyo CDM.

Kwani tangu mwanzo Zitto alikuwa anatumikia Chadema au Ccm. Hamna kitu Chadema walichopoteza hapo zaidi ya kumjua mnafiki na kuachana nae. Kumbuka wali vyo mwachia Pinda jimbo. Kumbuka kwa Nimrod Mkono. Zito alikuwa mchawi ndani yaChadema.
 
11001908_1394999014145357_8017458378206469793_n.jpg

Livingstone Lusinde ‎TANURU LA FIKRA

Asante Zitto kwa kutugaiwa jimbo sasa kazi ni kwetu tushindwe wenyewe..Tunakushukuru sana Zito Kabwe kwa kuwa mwema kwetu, sasa wacha tukapambane na hao Manyang'au ole wao yamsimamishe mgombea tutashinda kwa asilimia 99.

Zitto hoyeee, CCM Hoyeeee

standard seven failure anwaza jimbo, sio maendeleo na ustawi wa wanakigoma
 
Alichokisema Lusinde kina mantiki fulani ndani yake.
Sidhani kama Wana-Kigoma Kaskazini watakuwa tayari kuipa CHADEMA lile Jimbo as wameshaiona CDM kama adui yao.
Kuna hatari ya Jimbo kurudi CCM au kwenda ACT au chama kingine chochote lakini siyo CDM.

Watu wa kigoma ni wapinzani, lakini upinzani wao ni wakinafiki. Jimbo hilo litaenda tena upinzani.
 
Back
Top Bottom