Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
nashangaa wanaoiogopa hiyo mechiBila Degea hawa jamaa tungeshajipigia mpaka basi..
Degea Kwa kweli namkumbali...
Sasa dalili mapema ni hayumo aafu tushindwe lol..
I predict we will score 3 em 1
Mmeshaambiwa golini yupo Romeo
Una salah mane firminho tayari una uhakika na magoli mawili hadi hapo
Man u wapo ktk hali mbaya wapo nafasi ya 12 huku pia kesho wakitarajia kuwakosa nyota kama POGBA and DE GEA ambaye amekuwa ndo muokozi wao sana .
Kucheza na team kama liverpool huku unamkosa mtu kama degea golini means unawapa nafasi MANE, SALAH and FIRMINO kupata magoli kirahisi zaid. Na pia kumkosa mtu kama POGBA kutawafanya MAN U kutotawala dimba wala kupeleka mashambulizi mbele mara kwa mara hasa kutokea kati.


