Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bila Degea hawa jamaa tungeshajipigia mpaka basi..

Degea Kwa kweli namkumbali...

Sasa dalili mapema ni hayumo aafu tushindwe lol..

I predict we will score 3 em 1
nashangaa wanaoiogopa hiyo mechi

Mmeshaambiwa golini yupo Romeo

Una salah mane firminho tayari una uhakika na magoli mawili hadi hapo

Man u wapo ktk hali mbaya wapo nafasi ya 12 huku pia kesho wakitarajia kuwakosa nyota kama POGBA and DE GEA ambaye amekuwa ndo muokozi wao sana .

Kucheza na team kama liverpool huku unamkosa mtu kama degea golini means unawapa nafasi MANE, SALAH and FIRMINO kupata magoli kirahisi zaid. Na pia kumkosa mtu kama POGBA kutawafanya MAN U kutotawala dimba wala kupeleka mashambulizi mbele mara kwa mara hasa kutokea kati.
 
Playing Lovrent ni death warrant! What's left in his current contract?
That season vs Manu na vs Spurs alitucost vimbaya mno kuna binadamu wenye bahati yupo kikosini mpaka Leo na mshahara Wa 100k per week mpaka mwaka kesho 2021..

Kesho Klopp aisje akatwekea the self proclaimed best CB in the world..
 
nashangaa wanaoiogopa hiyo mechi

Mmeshaambiwa golini yupo Romeo

Una salah mane firminho tayari una uhakika na magoli mawili hadi hapo

Man u wapo ktk hali mbaya wapo nafasi ya 12 huku pia kesho wakitarajia kuwakosa nyota kama POGBA and DE GEA ambaye amekuwa ndo muokozi wao sana .

Kucheza na team kama liverpool huku unamkosa mtu kama degea golini means unawapa nafasi MANE, SALAH and FIRMINO kupata magoli kirahisi zaid. Na pia kumkosa mtu kama POGBA kutawafanya MAN U kutotawala dimba wala kupeleka mashambulizi mbele mara kwa mara hasa kutokea kati.
Salah bado wana mtazama..

Aidha Salah awepo asiwepo pale mbele Kwa majembe tulionao hii gemu ni ya ushindi tu kwetu...
 
IMG_6485.JPG
 
That season vs Manu na vs Spurs alitucost vimbaya mno kuna binadamu wenye bahati yupo kikosini mpaka Leo na mshahara Wa 100k per week mpaka mwaka kesho 2021..

Kesho Klopp aisje akatwekea the self proclaimed best CB in the world..

Na game vs Man City (5 - 0) huyu the so called Lovren alitusababishia unwanted record ya Klopp kupigwa 5 - 0 na shit club kama Man City
 
@Ollachuga Oc bana, dua la kuku halimpati mwewe. Kutuombea sisi tupoteze game ili nyie mpande, haitakusaidia kitu. Maana nyie sio wapinzani wetu kwenye tittle race. Hapa wakumwombe apoteze ni City na sio reds.
Sisi mkakati wetu ni kuhakikisha mpaka January tunaongoza ligi, kwa iyo ni mwendo wa kuwaombea njaa tu ..

Come on Man united

Kila la kheri Chelsea
 
Weekend mashabiki wa liverpool wanandoa kuongezeka uzito maradufu, tunaanza kesho city anakufa kwa Palace, Jumapili manure anachakaa, tunatoka na points zetu 3 huku difference sasa ikiwa 11 kati yetu na kikosi cha pep.
Kinyume chako itakuwa ni vyema ..timu kubwa za leo zitashinda zoteeee ..ila kesho ndo mziki ulipo ..hasa pale OT, afe kipa afe beki ..Ushindi lazima ubaki Jijini Manchester...

Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Huna kikosi cha kupambana na Liverpool ya msimu huu. Pambana na akina Watford na sio Liverpool maana sio size yako
Kinyume chako itakuwa ni vyema ..timu kubwa za leo zitashinda zoteeee ..ila kesho ndo mziki ulipo ..hasa pale OT, afe kipa afe beki ..Ushindi lazima ubaki Jijini Manchester...

Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkuu sio hao tu hata mashabiki wao huku wameanza kutuomba tuwapige nyingi ili wazidi kupata sababu ya kumfurusha mhasishaji Ole...na sisi kwa Mara nyingine tunawahaidi hatutowangusha.kila mahali ni dharau tu ha ha ha ha
Ao mashabiki ni wa uko tandale kwa tumbo au sinza makaburini ...sis mashabiki tuliokomaa kisoka ..tunaona kabisa hii Liverpool ikistrago apo OT ...

Come on Man United
 
Sisi mkakati wetu ni kuhakikisha mpaka January tunaongoza ligi, kwa iyo ni mwendo wa kuwaombea njaa tu ..

Come on Man united

Kila la kheri Chelsea
Nyie yenu ni top four, tena ushindane na kina aseno na spurs kwenye nafasi mbili zilizobakia. Maana 1 ni ya majogoo na nyingine ni ya city.

Pamvana kwanza na kina leicester na spurs. Sisi kwa sasa si level yenu.

Nini kiliwafanya mkamwachia Moses?
 
Sisi tuna wachezaji wengi sana wengine acha wakatafute maisha uko ..moses nadhani Yuko kwa mkopo ...

Sisi kupanda na kuwatoa apo juu ni suala la muda tu...

Kesho ukipigwa na City akikupiga halafu ukaja draw gemu kama tatu ivi, baaas kwishineii
 
Kweli kabisa

Similar Discussions

Back
Top Bottom