Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,446
- 32,863
Naangalia England vs Norway aka the Vikings Army....Njoo tuangalie BSS
YNWA
Naangalia England vs Norway aka the Vikings Army....Njoo tuangalie BSS
Naangalia England vs Norway aka the Vikings A
Kumbe bado ipo aisee. All the best.😂😂😂😂😂😂
Njoo tuangalie kwanza bongo Star search
Klopp hajafukuzwa usipotoshe!! Labda use me hakufurahia baadhi mambo uongozini akaamue akae pembeniJamaa limetutapeli pamoja na kocha wake
Jamaa limemfukuza Kocha wetu Klopp,aliyeitoa hii timu matopeni..
Likatuletea kocha tapeli amerudisha timu matopeni na amefukuza wachezaji wazalendo wote kama TAA na Mo Salah.
Walaaniwe sana Hawa matapeli.
Sasahivi hii Thread ntakuwa namsikiliza King Ngwaba pekeyake.
Captain Marvelous sina hamu tena na stori zake alivyokuwa anampamba hilo tapeli Edwards, huku akimkandia Klopp.
Yakawaroga matajiri wakamfukuza Klopp
Wakaamini matapeli na kuwamwagia hela zote ambazo hawajawahi kumpa Klopp.
Akufukizaye hakwambii toka.Klopp hajafukuzwa usipotoshe!! Labda use me hakufurahia baadhi mambo uongozini akaamue akae pembeni
19yrs?😧Saint Anne umeona 19 yrs old alivyotapeliwa na PSG ? Liverpool waliweka 100 m , kaenda PSG kawekewa 35M na wataongeza 5M kama atakuwa ana consistency nzuri 😂😂😂
View attachment 3627557
Miaka 19 huyu kwanza PSG huyu hawezi kumweka benchi Doue Desire, Ndembele, Kvicha Kvaratshekelia au yule dogo Mbaye.
Mu Ivory Coast huyo ndo miaka yake 🤣🤣🤣19yrs?😧
Mbona ni mzee kuliko mimi japo nimemzidi miaka zaidi ya 20