Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,909
Mansour wa Manchester City kwa mkwaja alionao kaweka jopo nzito sana na mawakilii.Manchester city sijui tu kwanini mpaka sasa hawaja mchukulia hatua.
Changamoto ni kwamba hakuna ma winga wengi wazuri wa upande wa kulia sokoni...yupo yule dogo wa Real Sociedad anaitwa Takefusa Kubo tuliwai kumtazama mara kadhaa kama mridhi wa Salah. Japo kwa sasa hana magori Wala assist nyingi angetufaa. Hata huyo Salah hakutoka Italy akiwa finished product mbali chini ya Klopp alipewa mfumo na akaelewa na kuperfom wonders pia yumo dogo Mane wa Wolves Hawa ni dynamic players kwa bei rafiki... Barcola naona Arsenal wanamtolea macho sanaaa. Muda utasema.Rb leizpg anawasubiria kwa hamu muingie kichwa kichwa awanyooshe.
Hata mie nilisikia hivyo. Afu ndio nashangaa mchezaji kama elliot Anderson anakomaa kwenda city.Mansour wa Manchester City kwa mkwaja alionao kaweka jopo nzito sana na mawakilii.
Nina wasiwasi kutimka Kipara pengine hukumu Yao haipo mbali sanaa tutegemee mwaka huu.
YNWA
Kila mtu apambane na hali yake kwenye soko la usajili, maana hapa ukizingua ni mwendo wa kudhalilika.Changamoto ni kwamba hakuna ma winga wengi wazuri wa upande wa kulia sokoni...yupo yule dogo wa Real Sociedad anaitwa Takefusa Kubo tuliwai kumtazama mara kadhaa kama mridhi wa Salah. Japo kwa sasa hana magori Wala assist nyingi angetufaa. Hata huyo Salah hakutoka Italy akiwa finished product mbali chini ya Klopp alipewa mfumo na akaelewa na kuperfom wonders pia yumo dogo Mane wa Wolves Hawa ni dynamic players kwa bei rafiki... Barcola naona Arsenal wanamtolea macho sanaaa. Muda utasema.
Nadhani huyu wa RB kwa kweli Ile bei ipo juu ukizingatia pia tunahitaji kununua bei wa kulia mmoja na DM mmoja pale kushoto Tsimakas karejea kutoka mkopo.
YNWA
Anderson ni machine Mkuu pambaneni atue kwenu. Ukitazama stat zake zinatisha. Atakapotua wamepata mchezaji wa maana na ready made kwa EPL.Hata mie nilisikia hivyo. Afu ndio nashangaa mchezaji kama elliot Anderson anakomaa kwenda city.
🤓🤓🤓🤓SI unajua kawaida ya Liverpool hua inakua na plan A ikifeli kuja plan B hivyo sokoni Sina wasiwasi sanaa kwa wakati huu.Kila mtu apambane na hali yake kwenye soko la usajili, maana hapa ukizingua ni mwendo wa kudhalilika.
Sikatai lakini hana thamani hiyo wanayoitaka Nottingham forest.Anderson ni machine Mkuu pambaneni atue kwenu. Ukitazama stat zake zinatisha. Atakapotua wamepata mchezaji wa maana na ready made kwa EPL.
YNWA
Kuna yule dogo Whaton wa Crystal Palace yeye bei yake haijafika kama hii ya Anderson angalau nae anakitu.Sikatai lakini hana thamani hiyo wanayoitaka Nottingham forest.
Jamaa anajua sana, ndio maana man united wanataka kumchukua yeye pamoja na fernandes westham.Kuna yule dogo Whaton wa Crystal Palace yeye bei yake haijafika kama hii ya Anderson angalau nae anakitu.
Mkuu vipi kuhusu Summerville umeona mambo yake.
YNWA
Dogo ni kipaji aisee. Mapema sana muwai kabla ya wengine.Jamaa anajua sana, ndio maana man united wanataka kumchukua yeye pamoja na fernandes westham.
Ngoja tusubirie tu here we go.Dogo ni kipaji aisee. Mapema sana muwai kabla ya wengine.
Fernades nae mtu na nusu. Jose na Perez wanamchungulia pia
YNWA
Sahihi ndugu.Ngoja tusubirie tu here we go.
km sheikh John bin Henry anaweza atuletee Wote tuBarcola vs Diomande tukomae kwa nani?
YNWA
🤓🤓🤓🤓Bhana John Bin hana utani baada ya sapraizi kwa Florian na Isak nakumbalina na wewe.km sheikh John bin Henry anaweza atuletee Wote tu