Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwakweli ila nina imani Newcastle wamejifunza. Wew si unaona sisi manchester united tunachofanya ni kumalizana na mchezaji pamoja na wakala wake ndio tunaenda kumalizana na club ya mchezaji hii imetusaidia sana mfano unakumbuka kwa mbeumo. Kuhusu gapko, jamaa anajua sana. Ila siku zote wenye maamuzi ni wamiliki na pamoja na michango ya mashabiki.
 

Captain umeshaanza mapema 😂

Asije kugeuka Darwin Nunez 😀
 
Sawa sawa! Saint Anne sasa hivi huamini tena porojo mpaka mcheza umuone uwanjani 😀
Sina hamu na porojo za watu humu,
Wanavyompamba mtu utasema kweli.
Walimpamba And slot na sifa zote,
Mara sijui ball control, na madude mengine mengi tu,Kumbe Jamaa hana lolote.
 
Newcastle pesa ipo ila bado hawajapata proper negotiators kumaliza haya mambo kimya kimya na kwa wakati ingawa wachezaji wengi wazuri wanataka klabu inayopambania makombe na Newcastle hizo levo bado bado.
Kuhusu Gapko anajua ila kujua kwako bado kabisa maana katika nafasi 30 anafunga 2 au 1 huyo ni mzigo kwetu ni wakati asepe tu akiwa na soko hivi.

YNWA
 
Ndio hapo Newcastle wanapofeli.
 
Ndio hapo Newcastle wanapofeli.
Bila wasimamizi wa ligi kuweka utaratibu wa klabu kutumia pesa inayozalishwa na klabu yenyewe walahi Hawa Newcastle tusingewagusa sokoni na wenyewe wanaamini baadhi ya vipengele vimewekwa kwa ajili Yao kwa timu kubwa kuhofia pesa za mafuta🤓🤓🤓🤓na utaeelewa ukimtazama alipokua Manchester City miaka hio kabla ya ujio wa Mansour.

YNWA
 
Diamonde loading💣💣💣. Boy is a time bomb.

Lakin ndugu zangu hivi huyu dogo ana hio value ya Euro €120m🥸🥸🥸🥸🥸🤓🤓🤓🤓🤓🤓.

YNWA
 
Manchester city sijui tu kwanini mpaka sasa hawaja mchukulia hatua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…