Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Mona ,Manyanza na Bobby walikuwa wanamchambua kocha tu walikomaa naye wakati kocha mwenyewe ashajua yeye Janja Janja.msimu umeisha kwa ugumu sana sikutamba mbele ya washikaji zangu taambo ziliniisha.
Tulia Wewe nyumbuBado hamjapata kocha, tabu ipo pale pale.
Liverfoolishness mtakuja hapa tena kulalamika kwamba kocha hafai. Sema slot mlitakiwa kumvumilia angewafikisha mbali sanaπTulia Wewe nyumbu
Yaani sisi tunachukua tena EPL na UEFA wakati nyie mpo
Mchukueni awape EPLLiverfoolishness mtakuja hapa tena kulalamika kwamba kocha hafai. Sema slot mlitakiwa kumvumilia angewafikisha mbali sanaπ
Tulikua na Dutch mwenzio kwa aliyotufanyia inatosha. Kuhusu EPL tutachukua soon. Ila slot mlitakiwa kumvumilia, angalau baada ya kucheza na sisi msimu ujao.Mchukueni awape EPL
Maana mna miaka zaidi ya 10 Sasa bila epl
Mchukueni msimu huu unaoanzaTulikua na Dutch mwenzio kwa aliyotufanyia inatosha. Kuhusu EPL tutachukua soon. Ila slot mlitakiwa kumvumilia, angalau baada ya kucheza na sisi msimu ujao.
Saint Anne hajam mdiss huyu bwana ni suala la muda.Hapa Hamna kocha Saint Anne
π€£π€£π€£Malkia umesikia Mwamba Nunez mbioni kurejea Liverpool haha.Sina hamu mimi
Mona Manyanza
Utasikia wanasema hatujui mpira
Kocha wao akiguswa tu
Utasikia anajenga mfumo
Haya
Mfumo uko wapi Sasa, π π
Time will tell.Saint Anne hajam mdiss huyu bwana ni suala la muda.
Mwanzo mpya matagemeo mapya kazi kwao FSG kumpa anachokitaka uwanjani alete furaha.
YNWA
Manchester united, alikua akifatilia vipengele vyake vya usajili. Mmepiga bao Newcastle, maana yeye ndio ilikuwa kwenye mazungumzo, ya hali ya juu kumnunua mchezaji huyu. Ila dogo anajua bhana hapa kweli mmepata mchezaji.View attachment 3610437
Here we go.
Boy said NO to Manchester United
Boy said NO to Newcastle United
Boy said YES to Liverpool the great of all time, England finest π π
YNWA
TutamuonaManchester united, alikua akifatilia vipengele vyake vya usajili. Mmepiga bao Newcastle, maana yeye ndio ilikuwa kwenye mazungumzo, ya hali ya juu kumnunua mchezaji huyu. Ila dogo anajua bhana hapa kweli mmepata mchezaji.
Saint Anne
Newcastle bhana kama ilivyotokea kwa Hugo na huyu Munoz wembe ni ule ule... Newcastle walishamalizana kabla ya vipimo vya afya dogo akasema apewe masaa 24 hivi ndio atasaini then wakaja Liverpool kumaliza maneno. Newcastle hawakuelewa mapema kwamba Liverpool alishaongea na wakala wajuzwe hali kama Ile ikitokea.Manchester united, alikua akifatilia vipengele vyake vya usajili. Mmepiga bao Newcastle, maana yeye ndio ilikuwa kwenye mazungumzo, ya hali ya juu kumnunua mchezaji huyu. Ila dogo anajua bhana hapa kweli mmepata mchezaji.
Saint Anne
Acha uoga saivi mna kocha.Tutamuona