Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah kipengele hawezi kukaa benchi na atulie ni pale moyo unataka Mwili unagoma......amekua mtumishi mwema wakati wote alipotufikisha inatosha wengine waanzie alipoishia.

YNWA
Liverpool haina mchezajj mwenye uwezo kama Salah
Angebakia msimu ujao ili kocha apate muda wa kutafuta mbadala wake.

Yaani Salah anaondoka Liverpool Kwa sababu ya likocha lijinga,inaniuma sana🥹
 
Liverpool haina mchezajj mwenye uwezo kama Salah
Angebakia msimu ujao ili kocha apate muda wa kutafuta mbadala wake.

Yaani Salah anaondoka Liverpool Kwa sababu ya likocha lijinga,inaniuma sana🥹
Nothing is forever miss Liverpool....
Tunahitaji new reset pale mbele, bila Diaz, Jota, Nunez tumekua hovyo kabisa..

YNWA
 


Wanangu wa Livakuku tukaeni mkao wa kula.

Hawa matapeli watajikuta wanashushwa madaraja kibao na vikombe vyao vya kiwizi tuatakuja kugawana sisi wenye haki tuliokuwa tunamaliza nafasi ya 2 nyuma yao. Makombe zaidi ya 6 au 8 tunaenda kujichukulia na sasa tutavuna jasho letu.

NB: Kiuhalisia ni ngumu kwao kuadhibiwa maana hakuna haki ya kweli kwenye pesa ila ni vizuri tu kuwaweka roho juu 😀
 

As long as yule Kichwa kama Busha ameondoka basi it's fine haya mengine yanazungumzika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…