Kocha apewe muda wa miaka 5 mingine ni mzuri sana. Yupo smart. Ametupa ubigwa. Na this time anatupa kwa mara ya pili tena.huyu kocha kuna namna anashindwa kuipanga timu yake, ni kama hajui yupi anafaa wapi......
angalia namna anamtumia chiessa, wirtz, hugo, szobo.....
badala ya 433 yeye kaja na mfumo wake wa ajabu,.....
best mido wetu ni szobo, yeye anamtumia rb, kwanini hataki kujaribu front 3 ya hugo, wirtz na salah/chiessa,..... middle ya grav, szobo na marca/jones, kwanini anang'ang'ana na kina gapco na isak?
majibu ni mawili, either hawa wachezaji walinunuliwa bila ridhaa yake au aliwanunua bila kujua atawatumiaje!
either way, huwezi poteza game 6 kati ya 7 at liverpool na ukasema wewe ni kocha!... huyu bwana toka alipokaribia kutangaza ubingwa, akaanzwa kutweek mfumo alioukuta wa klop, dalili zikawa wazi anachofanya hatafanikiwa, maana tulipoteana mwishoni mwa last season, na mpaka leo hajarecover!
he will definitely be sacked, sidhan kama atamaliza top 4 akiachwa huyu!
Ale wapi na familia yake"Breaking news; Slot sacked by Liverpool"
Kesho mapema kwenye magazeti
Slot na Guardiola sasa hivi ni wapiga nyeto waliokubuhu.Hapa mlipofikia tutawachapa viboko Sasa aisee 😂
🤣🤣🤣🤣PSV ni waovu. Hawakuwatumia Liverpool kikosi kitakachocheza leo
Krismas itamkuta kwao huyu!huyu kocha kuna namna anashindwa kuipanga timu yake, ni kama hajui yupi anafaa wapi......