Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naombea tupigwe game zote zilizo baki, tukipigwa huenda Slot atatimuliwa.
 
Hugooo Kawa muhogo, Witz Kawa Witness πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , Wapi Izakk hahaha beki la dunia Vandaikiii, kipa la dunia Allison linakobolewa magoli ya hovyo hovyo tuu hahaha wapiii livakuku haha tuliwambia mapema huu msimu mutashuka darajaa timu imeishajichokea ilee anfield Shamba la bibi kila mwamba anaichapa tuuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimegundua watu wanachambua mpira kutokana na matokeo ya timu ila sio uhalisia. Hii timu tuliambiwa itatawala soka la ulaya kwa miaka 10 ijayo ila hata msimu mmoja umemshinda kichwa mviringo.

Tuliongea hapa hamna DM mkakaza shingo kuwa Gravenbech anatosha, tukawaambia Slot sio kocha mkadanganyika na kikombe cha bahati mbaya. Muombeni radhi yule kiungo wa Arsenal aliyewaambia Slot hajui mpira mkataka kuvunja server za JF mkimpinga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…