King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Mmetumia vibaya hela za usajili inawezekana vipi mmetumia paund mill 300+ kwa wachezaji watatu tu no defender kwenye moja ya tatizo
Kocha ana kichwa km korosho
Bichwa kubwa akili kisoda
🤣🤣🤣🤣🤣Bichwa linang'aa lakini akili za TikTok 🚮🚮
Kocha bora huamini katika falsafa zake na sio kusikiliza maoni ya washabiki na wachambuzi.At last Mo Salah kaanzia bench. Inaonekana slot kasikia kelele za mashabiki. Hii game tunashinda kwa idadi kubwa ya magoli. 3+
Wamesha banduliwa 1, ina sikitisha sana 😂 😂Sasa na leo mfungwe ili muwe kichwa cha mwendawazimu rasmi 😂
Kila jamaa anajipigia tuu 😂 loserpool ameshakuwa chawote 🙌Wamesha banduliwa 1, ina sikitisha sana 😂 😂
Wali kosea kumfunga Southampton, hata mancity mwaka jana ali anza kumpiga huyo kabla haja dundwa ka pipa 😂 😂Kila jamaa anajipigia tuu 😂 loserpool ameshakuwa chawote 🙌
🤣🤣🤣 Kaka umechafukwaHii game tungepoteza ningekichuna ngozi kwa Jembe kile kipara cha kichwa mviringo