Adhabu ya kadi nyekundu kwenye kombe la carabao inajumuishwa hadi kwenye ligi, kwa maana hiyo mechi ya wikiendi dhidi ya crystal palace ameshaikosa hivyo
๐จ ๐๐๐๐๐๐๐๐: Giovanni Leoni has torn his ๐๐๐ and set to be out for several months ๐คโค๏ธโ๐ฉน
After excellent debut in League Cup last night with also Arne Slot very happyโฆ an unlucky injury for Leoni who will try to be back before the end of the season. ๐ค๐ผ๐ฎ๐น
Get well soon, Gio! โค๏ธ๐๐ป
Tumeliwa washeri aisee. Kiutani utani tuTumelambwaaaa
Ina wachezaji ndio, lakini uchezaji wao upoje?Mm si fan wa liver, lakini Liver ndio timu pekee Uingereza ambayo ina wachezaji, huwa siku mbaya kazini hazikosekani maana Palace wangetumia nafasi zao Leo ingekuwa ni historia, by the way timu zetu zingine zina safari ndefu sana kufika walipo Liverpool.
Naungana na wewe siku si nyingi.Kichwa mviringo anapenda sana Back pass na counter attack, akikutana na team yenye defence nzuri hapati goli, naanza kuwa na mashaka na huyu kocha.