Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FT. Burnley 0-1 Liverpool.
Ushindi wa jasho na damu.
Nilichokiona, Salah hana tena msaada kwa timu. Sub ya wirtz ilipaswa kufanywa kwa Salah, Wirtz abakie. Freempong angechukua nafasi ya Salah. Kwa kuwa makocha wote kuanzia kloop na Slot wanaogopa kumpumzisha Salah, basi ataendelea kuigharimu timu.
Liverpool wanapata matokeo lakini mchezo wao haufurahishi.
 
Salah saivi ni mpiga penati tu
 
Ulicho kiona wewe namimi nimekiona pia, sijui kwanini wanaogopa kumpumzisha Salah, ingekuwa ni Pep tayar amesha toka. Na hata awe na game mbaya vipi star rating ni 5 lazima abakie tu hawez kupumzishwa.
 
Point tatu si haba, ila tujiandae kwa mambo kama haya kwa sababu misimu huu timu nyingi zinatukamia sana.

Bila shaka kwa game zijazo kocha ataongeza nguvu kidogo kwenye attacking threat (Isak).

Next stop, Wednesday Sept 17: Anfield.

Liverpool vs Atletico Madrid (UCL)

You Will Never Walk Alone.
 
Wakuu kwa uchezaji huu, msimu utakua mgumu sana
Kipara anatakiwa kujitathmini mnooo
 
Tupiako basi mazero ya kutosha kwenye cheti chako. Degree upate wapi wewe. Je umechaguliwa chuo gani?

Maarassmbusii
Wewe boya Mimi sikuwa advance , six nilimaliza 2021 nikakaa mwaka mmoja kitaa Kisha nikaanza chuo 2022 nimemaliza mwaka huu nasubiria graduation 🎓 na cheti .

Siwezi kutaka kizembe chuo nilichomaliza , ila ni chuo kikubwa mashuhuri Tz . Siwezi kukutajia hata kwa code usije ukaTrack taarifa zangu binafsi.

Sasa ninampango wa kuomba Scholarship nikajiendeleze Mamtoni , passport ninayo mda wote nipo mambele Maarass!!
 
Kichwa kibuyu msimu huu hamna kitu anapata, kwa kushindwa kwa ngekewa ya refa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…