Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wirtz bhana, ni bonge la player. Tumpe muda tu. Nimeona Slot amempa uhuru wa kuzurula between lines, sana sana in central zones. Pia naona kama Slot anataka jamaa aoperate kwenye central corridor kwa kazi mahususi ya kufanya zile linkup play na quick connections, ili mashambulizi yasichelewe

Kwasababu kama umeona Sasa hivi, anafanya sana quick passes, pia amepunguza kuover-hold mpira big time. Sio Wirtz yule wa Leverkusen. Au ndio anajaribu kukeep momentum maana ligi ndio kwanza inaanza. Pia pasi zake nyingi kwenye open play ni one- or two-touches. Nahisi ni maelekezo tuu kutoka technical bench ili kuspeed up attacks

Kingine yupo active sana asipokua na mpira, anafanya sana movement kuwavuta opponents out of position kutengenezea nafasi wengine

Changamoto ndogo tuu ni kwamba namba zake (goals/assists) bado hazijakaa sawa, japo bado ni mapema mnoo kuongelea numbers, ligi bado mbichi. Lakini unaona kabisa amefanya maboresho kwenye game yake na anajaribu kuadapt. Kapunguza sana dribbling attempts / takeons labda kwasababu ya tighter marking / ligi ipo physical zaidi.
 
Mtapata shida sana ya kumtetea huyu wirtz....

Hakuna ubishi ni mchezaji mzuri, bado hajaadapt intensity ya EPL ...

Kwa ile bei mlipigwa pakubwa sana.... hii price tag hata kwake mwenyewe kuna namna inamuathiri.....

Watu siku hizi hawana muda wa kusubiri, wanahitaji mtu adelive....
 
Hatupati shida mkuu, dawa jeuri ni kiburi. Matajiri wametumia pochi lao sio la wapinzani, kwahiyo hupaswi hata wewe upate shida Liverpool kutumia pesa kubwa.
 
Hatupati shida mkuu, dawa jeuri ni kiburi. Matajiri wametumia pochi lao sio la wapinzani, kwahiyo hupaswi hata wewe upate shida Liverpool kutumia pesa kubwa.
dah! Umetisha mwanangu I guess shule ulikuwa unascore 100, unajua kujibu aisee
 
Shabiki wa Burnley kindakindaki
Liverpunyeto mkipata hata goli la offside nawapa x wangu
 
Hatupati shida mkuu, dawa jeuri ni kiburi. Matajiri wametumia pochi lao sio la wapinzani, kwahiyo hupaswi hata wewe upate shida Liverpool kutumia pesa kubwa.
Shida ni kubwa sema tu ndo kama hivi unatetea sasa....

Hii hata mchezaji inamuathiri kisaikolojia anashindwa kupafom vzr....

Again Wirtz ni bonge la mchezaji, wacha tuone pengine atakaa sawa !
 
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…