Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🤣🤣🤣🤣Leo kitaa kumepoa sana aisee maana wengi wa Arsenal walikua na matokeo mfukoni na ilikua wazi maana kama Newcastle tu wakiwa pungufu Hali ilikua vile sasa kwa Nini Arsenal wasiote ushindi 🤣🤣

Florian ni kiungo mchezeshaji. Hajapata kuelewana vyema na wenzie hivyo apewe muda atakaa sawa kama ulivyoona leo Kerkez amejitahidi kiasi Fulani.

YNWA
 
Kelele zilikuwa nyingi sana, tukaamua kuwaacha wapige kelele zao. Walitutisha na set pieces na kona zao 😂, kumbe hakuna kitu cha maana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…