Game Management
1. Arne Slot aliwapa Arsenal illusion of control kipindi cha kwanza, lakini akaja na adjustments kipindi cha pili. Hii ni mbinu ya makocha wakubwa, wanapima nguvu, kasi na udhaifu wa mpinzani kabla ya kushambulia kwa makini
2. Pressing Triggers: Liverpool walikuwa smart kwenye pressing, hawakukimbia hovyo, walichagua sehemu sahihi za kushambulia (kama makosa ya kiufundi ya Arsenal na backline yao).
3. Flexibility ya Kikosi: Ni jambo kubwa kwamba wachezaji kama and Szoboszlai, Mac Allister, na Endo wanaweza kubadilika nafasi kutokana na mahitaji ya mechi.
Kuhusu Psychology ya Timu
Liverpool wameonyesha mentality ya mabingwa: hawakutetereka wakiwa nyuma au kushindwa kudhibiti mpira kipindi cha kwanza, bali walibaki focused hadi walipata nafasi.
Hii tabia ya "predator instinct" (tabia ya uwindaji ) ndiyo hutofautisha timu ya kawaida na timu ya ubingwa.
Defensive Solidity: Ingawa wameimarika nyuma, bado kuna changamoto ndogo kwenye set-pieces na transition defence. Wakiendelea kurekebisha hili, watakuwa bora zaidi.
Chemistry ya Wachezaji: Baada ya mechi 10–12, squad cohesion itakuwa juu zaidi kwa sababu wachezaji wapya watakuwa wamezoeana vizuri. Hapo ndipo Liverpool inaweza kuwa unstoppable.
Squad Depth: Rotation ya wachezaji itakuwa muhimu sana msimu ukiwa mrefu – hususan kwa mashindano matatu (EPL, FA, na Champions League).
Liverpool wanapokuwa nyuma si rahisi kupoteza kwa sababu wanajua ku-control tempo ya mchezo na kugeuza kasi.
Mabeki wa pembeni wanabaki kuwa “playmakers” wa kisasa, wakitoa ubunifu hata kama si viungo wa kati.