Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
Leo tunawakanda ase8 goli 3 kwa 1Usiku wa deni haukawii kukucha wajomba
Mna alama zetu tatu tunazihitaji kwa udi na uvumba
Mtake mtatoa msitake mtatoa hata mbebwe na PGMOL leo mtatoa tuView attachment 3459650
Msije mkamtukana tu kocha Kiwigi.Usiku wa deni haukawii kukucha wajomba
Mna alama zetu tatu tunazihitaji kwa udi na uvumba
Mtake mtatoa msitake mtatoa hata mbebwe na PGMOL leo mtatoa tuView attachment 3459650
Tatu nyingi sana brother, sijaona timu ya kutufunga 3-1 dunia hii kwa sasa, i will be very hurtingLeo tunawakanda ase8 goli 3 kwa 1
Tumeajiri mtaalamu wa kushughulikia hizo set piecesTimu yetu inaweza kuzuia set pieces kwa ufanisi?
Maana wale jamaa kwenye game kama hizi goli moja linawatosha, wanarudi kuziba
Ungekuwa unaona picha zake zimesambaa humu ndaniJamani vipi ISAk tayari ni koptes???
🤓🤓🤓🤓Chukua Mkuu.Leo tunataka points zetu tatu tu wazee. Mambo yasiwe mengi.
Babu Milner msimu huu anavaa jezi namba 20 kwa heshima ya Jota 💥Milner kawapiga kamba City,, kashangilia kama JOTA.
Huyu jamaa sikumbuki kukosa penati