hiyo matokeo yatakuwa sare mkuu 😂Basi tuombe Arsenal ashinde mkuu.
Mamardashvili anakunja 85k per week, Halafu eti Curtis anakunja 15k tu dah life is not fairNi halali Konate atake nyongeza ya mshahara asee
Liverpool inataka impe 160k per week yeye anataka 200k per weekNdio maana Konate anataka kusepa huo mshahara mdogo sana.
Ni wajinga tu, binafsi Trent siwezi kumchukia ana mchango mkubwa mnooo kwa mafanikio tuliyoyapataLiverpool Replaced
Diaz with Isak
Nunez with Ekitike
Jota is Irreplaceable.
Doak with Wirtz
Quansah with Guehi
Nat Phillips with Leoni
Tsimikas with Kerkez
Rat with Frimpong
Kelleher with Mamardashvilli
Jaros with Woodman & Pesci
Morton with Nyoni.
World Class Window. 💥
TAA ameshakuwa Panya 🤣🐀
Saint Anne X wako anaitwa Panya huku
Captain Marvelous naona mashabiki wa Liverpool wametengeneza bifu tayari
Kwanini yeye aondoke free wakati tumemkuza?Ni wajinga tu, binafsi Trent siwezi kumchukia ana mchango mkubwa mnooo kwa mafanikio tuliyoyapata
Life is all about the hustle, and Trent is a hustler just like us chasing the best benefits in our jobs
N.B Tusisahau kona yake dhidi ya FCB
naunga mkono hoja, alikuwa na plan zake kitambo sana jinga yuleKwanini yeye aondoke free wakati tumemkuza?
Na kibaya zaidi siku ya utambulisho pale bernabeu akaongea kiespaniola safi kabisa wakati yeye muingereza, kumaanisha kwmba alijiandaa kutokurudisha shukrani dadeq
Wamuache kijana aje akimbizane na lile teka uchwara la arsenaneHaya sasa Tetesi sasampaka wana track helicopter badala ya ndege 😁😁😁 hao ni Watu wa Newcastle wenyewe
View attachment 3458177
“It’s Robbo. He has been here for many years, he has won the league twice. Last season we had Virgil, Trent, Robbo, and Mo [Salah]. Trent has left, so there are many solid reasons behind this decision.”
😂😂😂😂 Bado mashabiki Wana hasira nae.Liverpool Replaced
Diaz with Isak
Nunez with Ekitike
Jota is Irreplaceable.
Doak with Wirtz
Quansah with Guehi
Nat Phillips with Leoni
Tsimikas with Kerkez
Rat with Frimpong
Kelleher with Mamardashvilli
Jaros with Woodman & Pesci
Morton with Nyoni.
World Class Window. 💥
TAA ameshakuwa Panya 🤣🐀
Saint Anne X wako anaitwa Panya huku
Captain Marvelous naona mashabiki wa Liverpool wametengeneza bifu tayari
Konate siku hizi kawa kichomi sana, muda wake wa kwenda la liga au serie A umefika, atembee tuAsante kwa huduma yake tunashukuru kwa kipindi chote alichokuwa na sisi kwa mchango wake.
Kwa sasa hata hiyo 70K ni nyingi anaweza kuondoka tu
Thus why he isn't mentioned in england squad for worldcup preparationKwanini yeye aondoke free wakati tumemkuza?
Na kibaya zaidi siku ya utambulisho pale bernabeu akaongea kiespaniola safi kabisa wakati yeye muingereza, kumaanisha kwmba alijiandaa kutokurudisha shukrani dadek